#COVID19 Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

Jana nimepima nakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.

Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.

Nawaomba muendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kunawa maji tiririka na kujiepusha na mikusanyiko.

Corona bado ipo, chukua tahadhari na walinde wengine.
Baada ya Spana kuzidi kule Twitter naona Zito kaja kivingine.

Kutafuta huruma na kuhamisha mjadala.

Pole sana mkuu.
 
Jana nimepima nakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.

Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.

Nawaomba muendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kunawa maji tiririka na kujiepusha na mikusanyiko.

Corona bado ipo, chukua tahadhari na walinde wengine.
Acha kutia watu hofu kwa tamaa ya umaarufu na kipato na sifa za kijinga
 
Pole mkuu. Uzuri mmoja hii “Omicron” inaenea kwa kasi sana lakini siyo as deadly as that delta variant.

Juzi kwenye kikao na rais ulivaa barakoa?
Juzi kwenye kikao na rais ulivaa barakoa?[emoji848][emoji15][emoji2827]
 
Pole kiongozi Mwenyezi Mungu akusaidie upone haraka urejee kwenye shughuli zako.
 
Pole sana....

hii hali imekumba wengi sana siku za karibuni hasa Dar es salaam... Mafua makali, kikohozi, homa kali ghafla nk...ndani ya siku tatu inakuchapa halafu unakuwa poa..

Piga tizi kidogo, maji mengi, chai ya tangawizi, kula vizuri, Muombe Mungu itakuachia fasta..
Hata 2019 ilianza hivi hivi hamko salama to that extent , kufikia march tutaona,,
Yaani hali ya hewa ya disemba hadi march hawa wadudu ndo wana develop ,
Mtu anaweza kukwambia hali inaendelea vizuri kisha unashitukia chali... Msijiamini sana, vaa barakoa, piga nyungu ,pata chanjo
 
Huyu angepumzika sasa inatosha:

View attachment 2047343
IMG_20211213_133743.jpg
 
Jana nimepima nakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.

Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.

Nawaomba muendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kunawa maji tiririka na kujiepusha na mikusanyiko.

Corona bado ipo, chukua tahadhari na walinde wengine.
Pole sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom