#COVID19 Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

#COVID19 Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

Hakuna Corona hapo, huu ni msimu wa mafua, watanzania asilimia kubwa wameugua na maisha yanaendelea kama kawaida...
 
Keshakula mrungula wa maza sasa anampigia promo chanjo.

Mbona juzi akiwa na maza mkutanoni hakuvaa barakoa? ina maana na maza anaugua Uviko19
 
Na siku akishikwa tumbo la kuhara atujulishe huyu mnafiki na mchumia tumbo.
 
Pole sana ila bado wengi hawawezi kukuamini maana matendo na maneno yako huwa ni tata wakati mwingine. Wengi watajua wewe ni mzima ila una maana nyingine tu
Zitto ni tapali na Muhuni aliechangamka.
Ukimwamini imekula kwako..
 
Kwani hajachanjwa?
Alishachanjwa
Screenshot_20211217-181522.png
 
Wewe zito huo usanii wa siasa na Kama teuzi tu utapata ,hata kwenye mkutano alikuwa anakutaja Mara zito kafanya Nini sijui
 
Pole sana ila bado wengi hawawezi kukuamini maana matendo na maneno yako huwa ni tata wakati mwingine. Wengi watajua wewe ni mzima ila una maana nyingine tu
Natamani kungekuwa na comments nyingi kama hii ili kumjibu kwa usahihi huyo kabwela mzito
 
Zitto muhuni sana.. anatafuta huruma tuu baada ya kuboronga
 
Ukiniambia kuwa corona inasababisha mvua zisinyeshe hapo naweza kuwaelewa lakini mengineyo ni uongo mtupu.
 
Back
Top Bottom