SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyu anachoweza ni kupiga kiwi nyeusi kichwani mwake tu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anachoweza ni kupiga kiwi nyeusi kichwani mwake tu
Pole sana Bwana ZittoJana nimepima nakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.
Nawaomba muendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kunawa maji tiririka na kujiepusha na mikusanyiko.
Corona bado ipo, chukua tahadhari na walinde wengine.
Hili libabu vipi? Yaani halioni hii hali ya sasa?
na wabaya hawafi kabisa
Hili libabu vipi? Yaani halioni hii hali ya sasa?
Hilo swali tuwaulize Gwajima, Jafo na Kabudimlipuko wa uviko ushaingia mjini, watu kibao wana homa, mafua na kikohozi. Cha kushangaza sijasikia watu wakizungumzia mambo ya nyungu sijui kwa nini safari hii.
Zitto wewe nae una siasa za kishamba na zilizopitwa na wakati yani kwa akili yako utaweza kutuamisha kwenye Mjadala wa maigizo uliyofanya wewe na Samia na kujifanya umemuombea Mbowe msamaha wakati unajua hana kosa aliloklifanya au unataka kusema kuwa na wewe kama dada yako Samia una ushahidi kuwa Mbowe ni gaidi na alifanya ugaidi? hivyo ulitaka asamehewe kwa kufanya ugaidi?Jana nimepima nakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.
Nawaomba muendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kunawa maji tiririka na kujiepusha na mikusanyiko.
Corona bado ipo, chukua tahadhari na walinde wengine.
Ongezea na Msukuma, hawa jamaa kwa kweli !! Hivi ile dawa ya madagascar zijui ipo wapi?Hilo swali tuwaulize Gwajima, Jafo na Kabudi
Hahaha! Hilo Swali Kabudi linamuhusu piaOngezea na Msukuma, hawa jamaa kwa kweli !! Hivi ile dawa ya madagascar zijui ipo wapi?
Ongezea na Msukuma, hawa jamaa kwa kweli !! Hivi ile dawa ya madagascar zijui ipo wapi?
KWANI HAKUCHANJA MPAKA LEO?Jana nimepima nakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.
Nawaomba muendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kunawa maji tiririka na kujiepusha na mikusanyiko.
Corona bado ipo, chukua tahadhari na walinde wengine.
mkuu hata kama ukichanja covid kama imekupenda inakupitia tu.KWANI HAKUCHANJA MPAKA LEO?
Pole mkuu. Uzuri mmoja hii “Omicron” inaenea kwa kasi sana lakini siyo as deadly as that delta variant.
Juzi kwenye kikao na rais ulivaa barakoa?