Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Umemaliza..Juzi ulikuwa kwenye kikao,uliugua lini,ulizidiwa lini? Umepata nafuu lini?
Umemaliza kutumika kwenye issue ya Mbowe,umeamua kutumika Kama dalali wa Corona?
JPM alishatuondolea hofu,kawatishe wa kwenu Kigoma,sisi Corona ni mafua ya kawaida.
Neema ya Bwana yatosha.