#COVID19 Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

Zito umeitukuza corona na umedai chanjo ndio iliyokulinda na si Mungu!! Kwa taarifa yako mamilioni ya watanzania wako chini ya ulinzi wa Mungu na hawana habari na hawataki kusikia habari ya mungu chanjo na hawana hata hayo mafua yaliyokupata wewe!! Haya subiri uone kama mungu chanjo atakuokoa!! Mwenye macho hataambiwa tazama!!
 
Hivo angepata maambukizo ya VVU pia angeweka hadharani hivi.
 
Who cares!![emoji3166][emoji3166]
 
Binafsi sichanji kama na ww umeonja hela za Corona kivyako
 
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa.
[emoji115]Hapo Zito anatangaza watu mkachanje
 
Uliipata kwa yule bibi anayedai wewe ni "Mwanae"
 
Pambana na hali yako,kijana gani mnafiki kuliko mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…