fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
Mtu complex hawezi toa maelezo mepesi kiasi hiki,kwan mbunge hawezi kufundisha???!!!!
Si anakaa Dar jimbo lipo Kigoma sasa atashindwa kuishi Mwanza kwenye vyuo na aendelee huko kanda ya ziwa???!!
If this is true ,he should come out clean!!!!!
Kwa uwezo wake na matumaini ya baadhi ya watu juu yake ni sawa na dereva kugomea safari katikati ya msitu!!!!
Aseme safari ngumu.??????
Gari bovu????!
Uwezo wa kuendesha umeshuka??!!!
Konda na tanboi hawampi ushirikiano safarini???!!!!
Nia ilikuwa sio kufika???!!!
Alitaka tu kuonekana akilitoa basi kituoni????!!!!!
Alitaka kuendesha magari katika kampuni ya kimataifa ila ilikiwa ni lazima aendeshe basi kwanza???
Hakuna mtu anayeacha siasa kwa kupenda, zitto atakuja funguka tu, there is one key principle in politics, when the road ahead narrows, take the right or left route, if you insist on heading on the narrow road, you will end up where you started.
Maccm na mafisadi mtapumua sasa maana alikuwa anawashughulikia kisawa sawa
Naona Babu atakwenda honeymoon tena Israel na kimwana chake cha kihaya kupumzika. Maana watakuwa wamepumua sana. Na wanazi wengi wa CDM hii ni furaha sana kwa ndugu yangu Molemo, Ben Saaanane na wengine wenye mrengo kwa kushoto juu ya Zitto. Maana na wao wanafikiri sasa wanaweza pumua na kujipatia vyeo ndani ya CDM. Yaani mi sijuwi kazi ya akina Ben na wenzake ndani ya CDM na umuhimu wa Zitto kwa siasa za nchi. Zitto ni mtu makini huwezi fananisha na Ben hata kidogo na kwa hakika watajuta baadaye.
mnyama mwenye sifa za mamalia na ndege POPO.....
Zitto is a Trator yeye na wengine wengi wa CCM na CDM wanajua....
Unajua is better to be royal to the team than to the truth...,,,,kwenye jeshi wale traitors toka jeshi jingine wakiwaletea habari jeshi jingine mwishoni wale wale wanao pewa habari humuuwa yule mpashaji habari maana wanajua atafanya hivyo kwao pia ...anakuwa hana muamana.
Ningependa kuona upinzani unaimarika zaidi ni muhimu katika ustawi wa nchi ,haipendezi kuona mtu yuko upinzani akitumiwa na chama tawala downlow .Hata chama pinzani chochote kikichukua nchi na kuwa chama tawala still vyama vitakavyokuwa vya upinzania vitakuwa na umuhimu ule ule katika ustawi wa taifa hasa as watch dog
Mech ya jana nani kashinda vile kati ya Man U na ChelseaFisadi wa kwanza kupumua atakuwa Dr. Slaa.
Halafu kijana wa Slaa, Ben Saanane, naye atakuwa hana tena sababu ya kutembea na sumu mfukoni!
Mgombea urais Chadema kabakia Dr.Slaa peke.
Mbowe, hawezi tena kugombea katiba mpya mgombea urais lazima Degree.
Mgombea urais Chadema kabakia Dr.Slaa peke.
Mbowe, hawezi tena kugombea katiba mpya mgombea urais lazima Degree.
Mech ya jana nani kashinda vile kati ya Man U na Chelsea