THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Stop being paranoid ......
I dont give shit about Chadema,i care about opposition to be strong which is not that strong .
CCM kupitia njia nyingi inatokomeza upinzani nchini ,CCM ndio serikali kwa kipindi vyama vingi vinaanzishwa ilitakiwa kuhakikisha upinzani unakomaa na unakuwa wa kupishana sera zaidi ya tunayosikia sasa wizi/ufisadi kitu ambacho chama chochote kinaweza kuwa .Kwa kuwa viongozi ni product ya wananchi bila mentality ya wananchi kubadilika basi hata viongozi awaye toka chama chochote anaweza kuwa wizi.
Katika haya yote still Chadema kimejitahidi kiasi fulani kuonyesha upinzani (kidogo nimesikia sera zao ingawa still ajenda kuu imekuwa si sera ni janga la ufisadi linalo sumbua nchi) ,katika hili akatokea mtu ambaye anadaiwa kushiriki kuchenga chama na mtu huyo in downlow kutumika kudhoofisha chama ,is a big TRAITOR. no matter how good is he ,but i art of war this guy hafai kwa chumvi wala kwa sukari.
Kama wewe ni shabiki tuu hutajua usaliti wake maana sizungumzii ktk level ya sijuhi kutoshiriki mikutano au maandamano ,nazungumzia mikakati na vikao kitu ambacho mwenyewe na baadhi ya CCM wanajua.They got him!!Hkuna siri inayohusisha group....
Sasa nani kakuambia kwamba tunaiwekea was was chadema??
Kila mtu anajua nafas ambayo chadema imeplay katika kuufichua ufisadi na kuhubiri elimu ya uraia kwa wananchi,
Tunachopinga hapa ni watu njaa kali na wachumia tumbo,ambao wao kwao wanaona kwa kuchonganisha watu ndan ya hiko chama,tena watu wanaodhani kwamba wanaweza kuwafikia kimafanikio na kukivuruga chama basi wao wataonekana ni lulu zaid,na wataonekana ni wa maana zaid,hali ya kuwa wao ndio waliokosa maono na vision,
Usaliti huo mnaousema wewe na jamaa zako,viongoz wenu wakuu wa chama mbona hawajawahi kusimama na kuutamka hadharani??
Hizi njaa zitawaua sana wewe na jamaa zako,
Maji kama hamuwez kuyafikia hamuwez kuyafikia tuh,tafuten kazi za kufanya na kujenga taifa,sio kuchonganisha watu,na sio lazima wote kuwa wana siasa,wengine inatosha sasa mngebakia kuwa wapiga kura tuh.
