Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Stop being paranoid ......
I dont give shit about Chadema,i care about opposition to be strong which is not that strong .
CCM kupitia njia nyingi inatokomeza upinzani nchini ,CCM ndio serikali kwa kipindi vyama vingi vinaanzishwa ilitakiwa kuhakikisha upinzani unakomaa na unakuwa wa kupishana sera zaidi ya tunayosikia sasa wizi/ufisadi kitu ambacho chama chochote kinaweza kuwa .Kwa kuwa viongozi ni product ya wananchi bila mentality ya wananchi kubadilika basi hata viongozi awaye toka chama chochote anaweza kuwa wizi.

Katika haya yote still Chadema kimejitahidi kiasi fulani kuonyesha upinzani (kidogo nimesikia sera zao ingawa still ajenda kuu imekuwa si sera ni janga la ufisadi linalo sumbua nchi) ,katika hili akatokea mtu ambaye anadaiwa kushiriki kuchenga chama na mtu huyo in downlow kutumika kudhoofisha chama ,is a big TRAITOR. no matter how good is he ,but i art of war this guy hafai kwa chumvi wala kwa sukari.

Kama wewe ni shabiki tuu hutajua usaliti wake maana sizungumzii ktk level ya sijuhi kutoshiriki mikutano au maandamano ,nazungumzia mikakati na vikao kitu ambacho mwenyewe na baadhi ya CCM wanajua.They got him!!Hkuna siri inayohusisha group....

Sasa nani kakuambia kwamba tunaiwekea was was chadema??
Kila mtu anajua nafas ambayo chadema imeplay katika kuufichua ufisadi na kuhubiri elimu ya uraia kwa wananchi,
Tunachopinga hapa ni watu njaa kali na wachumia tumbo,ambao wao kwao wanaona kwa kuchonganisha watu ndan ya hiko chama,tena watu wanaodhani kwamba wanaweza kuwafikia kimafanikio na kukivuruga chama basi wao wataonekana ni lulu zaid,na wataonekana ni wa maana zaid,hali ya kuwa wao ndio waliokosa maono na vision,

Usaliti huo mnaousema wewe na jamaa zako,viongoz wenu wakuu wa chama mbona hawajawahi kusimama na kuutamka hadharani??

Hizi njaa zitawaua sana wewe na jamaa zako,

Maji kama hamuwez kuyafikia hamuwez kuyafikia tuh,tafuten kazi za kufanya na kujenga taifa,sio kuchonganisha watu,na sio lazima wote kuwa wana siasa,wengine inatosha sasa mngebakia kuwa wapiga kura tuh.
 
Chadema sometimes inaleta ukakasi sana na hawa wanaojiita ni makamanda wake,
Hivi na wewe ndan ya chadema hii ni nani hasa??
Kwa maana unaonekana kuwa ni msemaji wa chama huku mara nyingi ukiongea mambo yasiyo na kichwa wala miguu,

Sasa huyo unaemsema,wewe na wenzako watokwa povu mmefanya nin ndan ya chadema cha kutaka kuuaminisha umma wa watanzania kuwa mna say ndan ya chama,,na mko na saut ya kupinga mazur aliyoyafanya Zitto??

Besides mahusiano yake na viongoz wake wa juu yako positive na hakuna mgogoro huo mnaoushapulia nyinyi,vijana kama nyinyi mtambue kuwa mnayo nafas ya kufanikiwa maishan lakini si kwa kutegemea kusafiria nyota na mafanikio ya watu wengine, The revolution is inside of you,kama una amin ivo sion umuhim wa kuja kumwagika povu hapa

Wasemaji wa Chadema wanajulikana kila mahali, na kwenye hiyo orodha simo. Ninachofanya mimi ni kwamba naweka michango yangu kwenye hoja mbalimbali humu kwa kutegemea uelewa wangu wa hilo suala. Hii ni tunu kutoka chama cha TANU kilichotuelekeza wananchi kutumia elimu zetu, kila mmoja wetu, kwa faida ya taifa letu. Mimi nilikua enzi za Tanu. Hilo ndilo ninalofanya. Ukiona hukubaliani nami katika hoja fulani kizuri ni kuweka hoja yako yenye mtizamo mbadala watu watakuelewa. Ukifokafoka na kutaja vyama pasipo hoja mbadala unapotoka. Jenga hoja kupinga kilichosemwa watu watakuelewa tu mkuu.

OK; KWENYE HII HOJA HAPA CHINI WEWE UMEONA KOSA GANI?

....tatizo la uchambuzi wa matatizo ya psychology ni kwamba hakuna mzima. naweza nikachambua word selection yako katika argumentation zako nyingi hapa nikakuta wewe pia ni mgonjwa. Kwa hiyo tofauti zetu ni degrees--au pengine niseme viwango vya kuumwa. Hilo linazusha haja ya kuvumiliana katika ubinadamu wetu. Lakini pia ukifanya individual cost-benefit analysis ya hatma ya mwisho ya maamuzi ya mtu ndiyo hupunguza hukumu ya tendo lenye sura ya wehu. Hii ndiyo dhana inayotumiwa kuruhusu vita.

bottom line ya uamuzi wa zitto ni nini kwake at individual level? kwanza ataepuka migogoro ya kisiasa ambayo ni mingi. anataka kazi isiyokuwa na migogoro mingi. anataka amani at individual level. kuna wehu gani katika kutafuta a peaceful life? nadhani ni vizuri ukifuta kauli....usimwite zitto psychopath. hii kauli si sahihi.
 
kiongozi mbona unaleta zilipendwa au nawe wale wale wa kutembea na sumu mfukoni?

kumbe?Na hii barua aliyoivujisha mwenyewe ya kutaka lwakatare atoswe ili chama kifutwe kumbe alikua amepanga kuachana na siasa?

Barua iliyovuja.jpg
 
Mkuu una chuki dhahiri na zitto kabwe, jipange, utakufa kwa presha na kubaki na umaskini wa mali, akili na roho dhaifu

Nenda kwa mbowe sasa hivi, nenda kwa mtei sasa hivi, nenda kwa sugu, mdee, mnyika name it waulize Zito ni nani ni ni nini ilikuwa nafasi yake katika ukuaji wa hawa wanasiasa na cdm!! you will be amazed kusikia Mbowe atamwongelea Zito very very positively

1. vijana wengi wa udsm walivutwa na zito na wenzake
2. CDM imechomoka na kupaa kwa saisa za akili, mikakati na hoja kali za akina zitto

zitto sio msomi tu, but master minder na ka wakili zako unaona ukiandika hatred basi umemuumiza yeye!!

hater!!! hutamfikia zitto wewe na ukoo wako wowote ule, utaishia kutuma post humu na chuki, mwenzako anapaa na kubadilisha magari,

anaondoka sasa, bado una chuki? alikuwemo cdm ulimchukia, hata leo anaondoka??? ha aha haaaaaa, ama kweli wewe binadamu wa ukweli , duuh!

si mlikuwa mnasema zitto aondoke?? anaondoka sasa tena unasema utashangaa hao wanafunzi.....!!!

sema unataka akafanye kazi gani? au unampangia nini??

looser

Thats Right,
Wakati mwenzao anaish maisha yake na kuwaonesha ndoto zake,
Wao wamebaki kumjadili na kuchukia mafanikio yake,na huku wakisahau moja kwa moja kuish maisha yao,
Wanadhani kuna maisha mengine hapa ulimwengun zaid ya hayo ya njaa kali wanayoish wao kwa sasa.,

Hao ni Loosers Tuh
 
Wasemaji wa Chadema wanajulikana kila mahali, na kwenye hiyo orodha simo. Ninachofanya mimi ni kwamba naweka michango yangu kwenye hoja mbalimbali humu kwa kutegemea uelewa wangu wa hilo suala. Hii ni tunu kutoka chama cha TANU kilichotuelekeza wananchi kutumia elimu zetu, kila mmoja wetu, kwa faida ya taifa letu. Mimi nilikua enzi za Tanu. Hilo ndilo ninalofanya. Ukiona hukubaliani nami katika hoja fulani kizuri ni kuweka hoja yako yenye mtizamo mbadala watu watakuelewa. Ukifokafoka na kutaja vyama pasipo hoja mbadala unapotoka. Jenga hoja kupinga kilichosemwa watu watakuelewa tu mkuu.

OK; KWENYE HII HOJA HAPA CHINI WEWE UMEONA KOSA GANI?

....tatizo la uchambuzi wa matatizo ya psychology ni kwamba hakuna mzima. naweza nikachambua word selection yako katika argumentation zako nyingi hapa nikakuta wewe pia ni mgonjwa. Kwa hiyo tofauti zetu ni degrees--au pengine niseme viwango vya kuumwa. Hilo linazusha haja ya kuvumiliana katika ubinadamu wetu. Lakini pia ukifanya individual cost-benefit analysis ya hatma ya mwisho ya maamuzi ya mtu ndiyo hupunguza hukumu ya tendo lenye sura ya wehu. Hii ndiyo dhana inayotumiwa kuruhusu vita.

bottom line ya uamuzi wa zitto ni nini kwake at individual level? kwanza ataepuka migogoro ya kisiasa ambayo ni mingi. anataka kazi isiyokuwa na migogoro mingi. anataka amani at individual level. kuna wehu gani katika kutafuta a peaceful life? nadhani ni vizuri ukifuta kauli....usimwite zitto psychopath. hii kauli si sahihi.

Mkuu Samahan sana na naomba uniwie radhi,
Intention yangu that time ilikuwa ni kurespond kwa hoja flan ya mtokwa povu Pro chadema flan anaitwa Nikolas,

Pole sana,besides hoja yako ilikua njema na nilikusoma kwa utuvu sana,tafadhali niwie radhi,it was a mistake.

Thanks.
 
Sasa nani kakuambia kwamba tunaiwekea was was chadema??
Kila mtu anajua nafas ambayo chadema imeplay katika kuufichua ufisadi na kuhubiri elimu ya uraia kwa wananchi,
Tunachopinga hapa ni watu njaa kali na wachumia tumbo,ambao wao kwao wanaona kwa kuchonganisha watu ndan ya hiko chama,tena watu wanaodhani kwamba wanaweza kuwafikia kimafanikio na kukivuruga chama basi wao wataonekana ni lulu zaid,na wataonekana ni wa maana zaid,hali ya kuwa wao ndio waliokosa maono na vision,

Usaliti huo mnaousema wewe na jamaa zako,viongoz wenu wakuu wa chama mbona hawajawahi kusimama na kuutamka hadharani??

Hizi njaa zitawaua sana wewe na jamaa zako,

Maji kama hamuwez kuyafikia hamuwez kuyafikia tuh,tafuten kazi za kufanya na kujenga taifa,sio kuchonganisha watu,na sio lazima wote kuwa wana siasa,wengine inatosha sasa mngebakia kuwa wapiga kura tuh.

Kwenye red sijakuelewa labda ushereheshe zaidi.

Pili viongonzi wangu gani wangu unaongelea mimi sio Chadema,tatu nachojua mimi sijuhi kama hata hao viongozi wa Chadema wanajua ila najua.Upinzani Tanzania haukuwekwa katika misingi ya upinzani bali watu wanao kosa keki ya taifa ndio wanaform upinzani sio nia ya dhati ya kimuundo au sera .Leo watu ukiuliza kwa nini ww ni upinzani atakwambia kachoka na ufisadi bila kujua ufisadi uko ndani ya watu sio chama....mimi naamini upinzani ukiwa imara na wa kweli basi utakuwa na tija katika ustawi wa taifa.

Kwa sasa Chadema pamoja na kasoro zote ndio chama cha upinzani kilichochitahidi ,at least we can say lets start from there .......so sad kuona kinaangamizwa from within.Anyway katiba mpya inaweza saidi kama itaandikwa vema .
 
Kauli za Zitto ni nyingi sijui tushike ipi? Kwahiyo hakuwa anamaanisha kutaka kuongoza hili taifa?

Anza na hii

"Nilipoamua kuwa nitagombea, nikapenda niwe ama Kinondoni au Geita. Wazee wa Kigoma, washauri wangu, viongozi wa chama na marafiki wakanishauri nigombee Kigoma. Sasa nimeamua kugombea Kigoma Kaskazini

Labda hii '
"Kwanza nataka niwahakikishia watu wa Kigoma msiwe wanyonge…mna uwezo wa kutoa rais wa nchi hii," Zitto alianza kujibu swali hilo na kuendelea. Hata hivyo Zitto alipoulizwa baadaye na Mwananchi kuwa mwaka 2015 atakuwa na miaka 39, hivyo kukosa sifa ya kugombea urais kwa mujibu wa katiba alijibu; "Nadhani nina uwezo wa kuwa rais, sidhani kama Katiba inaweza kumzuia mtu mwenye uwezo asigombee na ndio maana ninaamini kuwa kipengele cha kuwa na miaka 40 kitabadilishwa katika katiba mpya
'

Kisha labda hii

"Sina nia na sifikirii kama nitagombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA mwaka huu, naona timu iliyopo inatosha kwani inafanya vizuri na inafaa kuendelea kukiongoza chama kwa maslahi ya Wantanzania

Bila kusahau hiii

¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba '
katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake

Kisha malizia ya jana hii

Hiki ni kipindi cha mwisho kwangu kujihusisha na siasa kwani nimechoka nazo, nitatafuta chuo nikafundishe na kama nitakosa ni bora nikalime michikichi... sihitaji urais''

Na hapo juu alisema mwaka huu hataongelea urais kabisa
.Mungu anajua kuwaumbua wanafiki na wasaliti vigeu geu.

Leo atasema .......

Kisha acha nafasi ya kesho na siku zijazo
 
Mkuu Samahan sana na naomba uniwie radhi,
Intention yangu that time ilikuwa ni kurespond kwa hoja flan ya mtokwa povu Pro chadema flan anaitwa Nikolas,

Pole sana,besides hoja yako ilikua njema na nilikusoma kwa utuvu sana,tafadhali niwie radhi,it was a mistake.

Thanks.

Mkuu LeBigShow,

Huyu Confederate Spy nadhani unamjua. Alisema hii ni thread ya kijinga sasa anaona aibu kuingia kwa jina lake verified ili asionekane anameza matapishi yake.

Huyu kijana hii kauli ya Zitto inampunguzia mzigo wa kutembea na SUMU...
 
Zitto Zuberi Kabwe,Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA; Naibu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ametoa kauli.Amenukuliwa akisema kuwa hatagombea Ubunge wala Urais hapo 2015. Akajipambanua kuwa anatarajia kutafuta Chuo Kikuu ili akafundishe baada ya kumaiza Ubunge wake. Akaongeza kuwa hataitaka tena siasa. Zitto tumekusikia. Tutaisimamia kauli yako hii.

Kumbukumbu zetu hazijafuta kauli zako za Kigoma na Bungeni Dodoma juu ya Ubunge na Urais. Kule Kigoma,umeshawaaga wapigakura wako wa Kigoma Kaskazini kuwa hutagombea tena Ubunge hapo 2015. Lakini ukatamka na kupania kugombea Urais hapo 2015. Ukashangiliwa,ukaliliwa,ukazungumziwa,ukalaumiwa,ukasifiwa na kushauriwa.

Kauli ya kuutaka Urais ukairudia tena Bungeni Dodoma. Ukajipambanua kama mwenye uwezo,weledi na sifa za kuwa Amiri Jeshi wa nchi hii. Ukatamka bila kupepesa macho wala mawaa juu ya Katiba na taratibu za chama chako kuwa unatamani na kuutaka Urais wa 2015. Tulikusikia. Tumetunza kumbukumbu zetu.

Sasa umenukuliwa kivingine. Hutaki vyote : Urais na Ubunge. Usipokanusha sasa nukuu hii,sisi kama wananchi wa Tanzania,tena toka vyama mbalimbali hapa nchini,hatutakuelewa. Itakapofika 2015 na ukajaribu kuikiuka kauli yako,tutakuona kama mkorofi wa kisiasa;mwenye tamaa ya kisiasa;mchafuzi wa demokrasia;usiyekuwa na msimamo na kadhalika. Hatutakupenda kamwe.
Zitto tafadhali, jitokeze sasa,tena hapa hapa JF ulipopazoea, na uweke sawa habari hii ya kutoutaka Urais na Ubunge hapo 2015. Karibu Zitto!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Last edited by a moderator:
Tafadhali msamehe hajui anataka nini! Nafikiri amepata kale kaugonjwa ka bipolar disorder, anatakiwa speed Painadol tena drip.
 
hana jipwa aende zake ameshindwa kuwasaliti ccm sasa anaona ni heri wakamwajiri vyuoni kwao ccm shem on him, sina interest nae saa hizi vyuo vinataka PHD nae hana amna masters tu labda aende vyuo vya kata (udom)
 
Mkuu VUTA-NKUVUTE mara nyingi kauli za Zitto hazina uzito we subiri siku miezi na miaka ya uchaguzi ikikaribia atatoa tena kauli nyingine yenye kupingana na hii.
 
Last edited by a moderator:
sio mbaya ni uamuzi mzuri kama ameona bado inafaa ila bado alikuwa ananguvu za kuendelea kuwa mbunge.hongera zake.
 
Mkuu LeBigShow,

Huyu Confederate Spy nadhani unamjua. Alisema hii ni thread ya kijinga sasa anaona aibu kuingia kwa jina lake verified ili asionekane anameza matapishi yake.

Huyu kijana hii kauli ya Zitto inampunguzia mzigo wa kutembea na SUMU...

haya majungu watu wa ccm yanawanufaishaje.jadili kilichopo kwenye mada
 
Zitto Zuberi Kabwe,Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA; Naibu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ametoa kauli.Amenukuliwa akisema kuwa hatagombea Ubunge wala Urais hapo 2015. Akajipambanua kuwa anatarajia kutafuta Chuo Kikuu ili akafundishe baada ya kumaiza Ubunge wake. Akaongeza kuwa hataitaka tena siasa. Zitto tumekusikia. Tutaisimamia kauli yako hii.

Kumbukumbu zetu hazijafuta kauli zako za Kigoma na Bungeni Dodoma juu ya Ubunge na Urais. Kule Kigoma,umeshawaaga wapigakura wako wa Kigoma Kaskazini kuwa hutagombea tena Ubunge hapo 2015. Lakini ukatamka na kupania kugombea Urais hapo 2015. Ukashangiliwa,ukaliliwa,ukazungumziwa,ukalaumiwa,ukasifiwa na kushauriwa.

Kauli ya kuutaka Urais ukairudia tena Bungeni Dodoma. Ukajipambanua kama mwenye uwezo,weledi na sifa za kuwa Amiri Jeshi wa nchi hii. Ukatamka bila kupepesa macho wala mawaa juu ya Katiba na taratibu za chama chako kuwa unatamani na kuutaka Urais wa 2015. Tulikusikia. Tumetunza kumbukumbu zetu.

Sasa umenukuliwa kivingine. Hutaki vyote : Urais na Ubunge. Usipokanusha sasa nukuu hii,sisi kama wananchi wa Tanzania,tena toka vyama mbalimbali hapa nchini,hatutakuelewa. Itakapofika 2015 na ukajaribu kuikiuka kauli yako,tutakuona kama mkorofi wa kisiasa;mwenye tamaa ya kisiasa;mchafuzi wa demokrasia;usiyekuwa na msimamo na kadhalika. Hatutakupenda kamwe.
Zitto tafadhali, jitokeze sasa,tena hapa hapa JF ulipopazoea, na uweke sawa habari hii ya kutoutaka Urais na Ubunge hapo 2015. Karibu Zitto!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Kuna wakati Zito huwa simwelewi elewi sana! Hasa baada ya kushikilia kamati ya "madini"!
Kuna wakati huwa nahisi kuwa anaweza kuwa sababu ya mgawanyiko kwenye chama chake.
Kuna wakati huwa naona kama ana kitu kimejificha flani na hataki kukisema tu...
Kuna wakati naogopa atakuja kusababisha historia ya ajabu ajabu!......
Kuna wakati......
 
Back
Top Bottom