mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Mkuu wewe ulishawahi kuingilia maamuzi binafsi ya mama yako? Kama inawezekana labda tuanzie kwako kupata ushuhuda!
Haya tena lema yeye anasemaje kuhusu posho au anataka ziongezwe.
Kwani asipopokea ndio kutakuwa na impact gani
Watu wengine hawajui kama Mama yake Zito ni mjumbe wa bunge maalum la katiba
mnafiki baba yako, njaa kali wee
bila zitto hakuna chadema imara chaguzi ndogo zimebainisha bisha kwa point sio akili ya virobazito hana mvuto tena, apumzike kwa amani
Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku