Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Kuna watu wanaumia sana na mafanikio ya kiongozi shupavu Jemedari JPM. Leteni ushahidi kupinga data za TRA.
 
Kwani huko anakokimbilia BoT siyo serikali?!

BoT haina nafasi nzuri ya kuongopa kama TRA. Ameitaja BoT kama sehemu ambapo taarifa za TRA nk, ni rahisi kupishana na wapika data wengine. Ifahamike Zito ni mtanzania asiyependa kulishwa data za kupika. Kama watanzania wengine wanalishwa taarifa za kupika, sio lazima na Zito naye akubali kulishwa data za kupika.
 
Tanzania imebeba image ya mtu mmoja na kutambulika duniani Kwa uongo uongo eti covid Tz hamna mpaka leo wazungu wanacheka.Eti dunia nzima Tz ndo haina covid case.
Ipo?
 
Ilipotamkwa trillion 2..hata Mwanangu alicheka.
 
just a taxpayer, though he has the right to question the authority upon it nor you. And he did it for public interest.
 
Zito Kabwe anawewesekaweweseka tu akili ameshikiwa na Amstredam.
 
Mimi hela yangu ikiingia Bank naikombaga yote ,sitaki ujinga kwa kweli .Nimefungua account nyumbani kwangu na nina namba ya Safaricom .Kibiashara chenyewe kidogo jamani na Tra wanakungangania .fikiria ujawahi ingiza 4m lakin wanakuambia kulingana na mahesabu kodi 9m duuu
 
Akili ya Zitto na wewe ni sawa na usiku na mchana .
 
LOGIC
 
Mliambiwa hamkuamini.Mpk muone.
 
Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA.
Kumbe hata kuchambua taarifa ya Not hajamaliza,kihere here Cha nini?

Zitto haaminiki, aliwahi kusema nchi Ina Tani 90 tu za akiba ya chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…