Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Serikali Tayari Ime Punic, Imejaa Sana Upepo
🤔🤨😐😑😶😏😑😐🤨🤔😙😗😉😉😎😎
 
Zitto ana mengi,lakini inakuwa vigumu kuaminika kwa sababu ya ukigeugeu.
Labda ni mbinu za kumshidikiza Raisi Magufuli ampe ubunge wa kuteuliwa,na labda awe mwenyekiti wa kamati ya bunge mashirika ya umma.
 
Kwani huko anakokimbilia BoT siyo serikali?!
Tatizo takwimu za serikali siku hizi Zina utatoa hivyo kila mtu anataka kujiridhisha na ukweli wa takwimu hizo.Ili ujue uhalali wa takwimu hizo ni kwenda kuyachimbua makabrasha yao ya BOT na hiyo ni haki ya kila mtanzania kupata takwimu zilizo sahihi na kea wakati sahihi na Kama unafikiri takwimu hizo si sahihi pia una haki ya kuzihoji.
 
Umaarufu hautafutwi kwa nguvu huja kwa maarifa na matumizi ya akili.

Serikali imetoa taarifa kwa wananchi kwamba mwezi December 2020 imekusanya kodi tsh trillion 2..
Swali la kijinga kutoka kwa mtu mjinga anayeamini kuwa ofisi yoyote ikitoa taarifa yoyote watu hawastahili kuhoji.

Karibuni hapa TAMISEMI walitoa taarifa rasmi kuwa walimu 13,000 wameajiriwa, baada ya watu wenye akili kuhoji, Serikali ilikubali kuwa taarifa ilikuwa ya uwongo. Walimu walioajiriwa walikuwa 8,000 tu.

Hivi wote wangekuwa na fikra za kijinga kama huyu Johnthepaptist, za kutohoji, si wananchi wangekuwa wamelishwa matangopori.

Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka kuwa Taifa linahitaji vijana jeuri wanaoweza kuhoji na siyo wale wa , ndiyo mzee. Leo bado wajinga kama huyu wanaotaka watu wasihoji taarifa za serikali. Big shame to these emlty minds.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri kwako pia bwashee!
 
Hahahaaaa, Wewe ndio mjinga unayemwamini Zitto!
 
kwa kawaiida kukusanya kodi ni mkudansanyaji ambaye Ni TRA anapoteza muda kuchambua ni sawa na mfanyabiashara akidema nimepata mapato ya bilion moja halafu unasema naenda benki kuchambua taarifa zake.
 
Ukizingatia ,pesa yetu kwa Sasa haina thamani zisi ya $.
kwani Maisha ya mtanzania yanafanana na mmarekani? kulinganisha pesa kunakusaidia nini? marekani wana homeless wengi kuliko Tanzania

Tanzania homeless ni vichaa tu lakini watu wazima huwezi mkuta homeless.

Marekani mtu mzima mwenye akili na digrii juu unamkuta homeless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…