Zitto: Umeme wa Gesi ungezalisha MW 3,500 zaidi ya wa Maji

Nimekuja mbio nikidhani umejibu maswali ya jamaa uliemtag... Kumbe ujinga tu.
 
Hiyo gesi anamiliki nani, na bei ya huo umeme ingekuwa kiasi gani?
Ndio maana JPM aliamua kutosikiliza hawa wanasiasa. Sometimes wanatushawishi mambo ambayo mlango wa nyuma wametumwa. Pamoja na heshima yangu kwa Zitto Sometimes nafikiri huongea mambo kwa influence! Ile vita yake na IPTL nilifikiri imemfungua shida yetu ya nishati lakini kwa kauli hii ananipa wasiwasi!

Jana PM kasema umeme wa maji ni cheap na bei yake haiwezi kuzidi kati ya sh 36 na kizidi sana sh 50! Gesi ni expensive! Tunaweza kuweka nguvu nyingi kwenye umeme wa maji then gas ikatumika kwa matumizi mengine na hata kuuza zaidi nje.
 
Madalali wanahangaika kunadi gesi iuziwe Tanesco!!!timeshapigwa sana na hawa wawekezaji wa nje wao walichimba wakiwa na soko lao .Wauzie private sekta kwa nini wakomalie kuuzia Tanesco.Wauze nje sio lazima watuuzie sisi

Zitto kabwe naye anapigia kelele udalali tu hakuna kitu.

Toka Magufuñi kwa hovi vimegawati vidogo tulivyonavyo umeme uko vizuri..Kuliko awamu zilizopita zilizotegemea sekta binafsi sana kutwa tukawa tunapigwa pesa na umeme wenyewe wa shida.Tusubiri bwawa letu.
 
ITV walitukatia Ni Kama hawskutaka tusikilize uchambuzi wote au baadhi ya vipengere
 
Je hii Stigler serikali inachimba yenyewe??
 
nimemsikiliza akijumlisha 40,80 halafu 150 halafu 300 jumla akaja na figure ya 3500

Acha Nae huyo Jamaa huenda Anatumiwa na Mabeberu tuu....
Watuache na Stiegliers yetu...
Kwani wanajua fika ngoma ikikamilika watakosa pa kusema...
Gharama itakuwa chini na wananchi watafurahi Kutakuwa hakuna tena malalamiko so wanatafuta chocho baya ndio tuingie....
Gas ni gharamaaaa...
Hatutakiiiiiii!
Huenfa Kuna Kundi linapinga na Kufanya Mbinu Mradi wa Stirgliers usikamilike ila Jana Waziri mkuu kahakikisha Utakamilika Kwa Wakati!
Ni Kusimamia Kauli yake tuu kila Mtu yeyote hata wewe mkuu sdma Piga Kelele Popote Kuutetea Huu Mradi...
Utakuwa ndio Kitu tangible cha Kusemea kinachoonekana sasa wengi hawapendi wanaona Madili yao Yamepigwa chaliiiii
Papapap,....Kukukukuu,Tututuuu in Magu’s voice[emoji16][emoji23]
 
Ndugu yangu viongozi walio wengi wa maccm na Afrika kwa ujumla huwa. Wanataka Kuanzisha miradi mipya ambayo watapiga ten percent

Hiyo gas ilikuwa tayari walioanza walichukua cha kwao mapema kea hiyo waliokuwa wakaona hatutapata chetu ngoja tuanzishe miradi yao ndio matokeo yake hayo sasa.

Hata Bagamoyo Magu hakutaka kuendeleza kea vile haukua ukanda wao na tayari waliouanzisha walichukua chao mapema
 

Mkuu unetoa Madini Mengi sanaaa natamani watu wengi wakusome...
Wwngine wanajua ssma wana Maslahi yao kwenye Gas....
Ni Kweli Gas Wanachimba Wazungu huko Baharini halafu wanatuuzia sisi tunachakata then ndio tunaisafirisha kuja Dar es salaam!
Watu wengi hawajui hili....
Cc:
jingalao
Natamani mkuu ikiwezekana anzisha uzi kuwatanabaisha watu wajue gas kule inakochimbwe ni ya Makampuni ya wazungu!
Sasa Umeme tunapataje uwe Rahisi?
Jingalao waambie watu.
mwanawao kaelezea Vema mnooo nimemuelewa sana!
 
Hakukua na namna sahihi ya kufanya zaidi ya hiyo,

Ukiwasikiliza watanzania nakuambia hutafanya lolote na mwisho wa siku watakutukana tu.
 
Stigler ni mradi WA serikali, ila gesi sio mradi WA serikali, ni Mali ya wachina walipewa Kwa miaka 100 na mzee kikwete ili wasimnyonge mtoto wake ridhiwani alipokamatwa na madawa ya kulevya China.
Na Hayati alitoa hela zake mwenyewe kujenga Stigler? Je zile hela za rambirambi alizoiba kwanini asifukuliwe azirudishe?
 
Zitto mtaalam wa Electrical engineering 😅😅
 
Waligawana vitalu vya gesi hata Zitto kabwe anavyo wakajipanga kutukupiga wananchi hadi tukome.Viongozi wengi wa awamu ya nne waligawana vitalu kule kama kama mpira wa kona

Sisi tuliopigwa kwa miradi ya kifisafi ya umeme ya private setor tumejifunza mengi baada ya magufuli kuingia umeme uñiokuwa ukikatika katika kila siku wakidingizia sisi tuna vimegawati kiduchu kukakoma

Magufuli akajidundulizia huto huto tumegawato tudogo twa kwenye tu mito.twetu ambato.mabe etu wanaimba kuwa havifai hadi leo tunajipatia umeme wa uhakika kutoka huto.tumito twetu kwa gharama nafuu

Gesi wametupiga basi waendele na gesi yao sisi tuendelee na tu.mito twetu.na tubwawa twetu.Chukueni gesi yenu mliyotupora nendeni mkainywe au kuogea kama mkiona haiuziki nje ya nchi na ndani haina soko.Mliporo ichukueni bebeni hata kwenye mapipa katumieni kwenu
 
Mimi naona shida ya umeme sio kubwa Sana Kwa sasa ndio maana watu wanahisi tumesahau tulikotoka na wanajua watanzania niwasahaulifu Sana.
Twende taratibu na bwawa la mwalimu Nyerere likamilike, usipotosha tutaongeza na huo wa gesi miaka Mingi mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…