Zitto: Umeme wa Gesi ungezalisha MW 3,500 zaidi ya wa Maji

Swala si uwingi wa MW pekee, ni kuangalia maisha ya huo mradi, na uendeshaji wake, je ikiwa ni 10000 MW na mwananchi akauziwa 2000 kwa unit, ukombozi kwa mwananchi utakuwa wapi?
Well said mkuuu...ila
Ana hoja lakini imeegemea upande mmoja....
 
Yap nakubaliana nawe....issue ni kwenye gharama...kuanzia ujenzi hadi maintain ance
 
Huyu naye ni injinia anajua kufanya feasibility studies za miradi hii? Hiyo feasibility study ya MW3500 ilikuwa wapi siku zote kama siyo uzushi>
 
Raia wanataka umeme sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…