Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Ka- copy Twitter uyo. Katuletea utopolo wake huku. Aliepost Twitter yeye kasema watanzania tupo 63milion , kwamba kila mtu apewe 1M. Huyu naona kapunguza hadi 55M..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Tanzania ikisema ifanye lockdown na kutoa milioni 1 kwa kila Mtanzania kwaajili ya kujikimu kwa mwezi 1 gharama itakuwa ni milioni 55 ambayo kwa mapato ya serikali ni hela inayoingia ndani ya dakika 1 naomba serikali ifanyie kazi hili wazo katika kipindi hiki cha janga la Corona kama nchi nyingine zinavyochukua hatua.
Wewe kule shule ulikuwa unatoroka kipindi cha hesabu leo unatufanyia hesabu za kwenye pool.
 
Hesabu ya wapi hii!? 55,000,000 × 1,000,000 ni 55,000,000,000,000
Serikali ya Tanzania ikisema ifanye lockdown na kutoa milioni 1 kwa kila Mtanzania kwaajili ya kujikimu kwa mwezi 1 gharama itakuwa ni milioni 55 ambayo kwa mapato ya serikali ni hela inayoingia ndani ya dakika 1 naomba serikali ifanyie kazi hili wazo katika kipindi hiki cha janga la Corona kama nchi nyingine zinavyochukua hatua.

Jr[emoji769]
 
Nina mapendekezo kadhaa
1. Serikali isitishe miradi mikubwa ili kutunza fedha kwa tahadhari
2. Serikali ishushe Kodi bandarini, na kwa wafanya biashara ili kudhibiti vitu visipande Bei
3. Serikali itunze Vito vya kutosha kwa tahadhari ya baadae
4. Abiria wote wapimwe Virusi vya Corona kabla ya kwenda waendako
Ni maoni yangu yanaweza boreshwa
 
Watanzania hawa wenzetu wanaofanya kazi katika sector ya utalii hasa mahotelini,wengi wako majumbani kwa Sasa hasa huko kaskazini na hawajui Ni lini ugonjwa huu utaisha nao watarudi kazini na kuendelea kupata kipato kitachowawezesha kuendelea kutunza familia zao.kama tutaweza kuwatafuta kwa kupitia njia yoyote tukawapa elimu ya ujasilia Mali na tukawapatia mikopo itakuwa vyema kipindi hiki tunapopita katika changamoto hi.mabosi wengi wa sector hii wamekuwa wakilia mambo magumu hata kabla ya Corona ,wengi walipunguza wafanyakazi au mishahara kwa hili la Corona nategemea ndio kabisa watanzania wenzetu wanawafanya watalii kuendelea kuusifu ukarimu wetu kwa matabasamu na huduma Bora, mda huu natumaini mishahara ya mwezi wa 4 au wa 5 wataisikia kwenye Bomba.Naomba Kama tunaweza wafanyia kitu kundi hili labda kwa kuwapeleka kwenye miradi mbali mbali inayoendelea basi tuwapeleke huko wasahau kwa muda habari za kubeba tray mradi wapate chochote kitu Cha kujisukuma kipindi hiki kigumu kwao.maana kazi hizi nyingi zina mishahara midogo ya chini isiyotosha kusema kuwa wana akiba ya kutosha kuweza kuendesha maisha yao kipindi hiki kigumu.Naiomba serekali iangalie namna ya kusaidia kundi hili la vijana hata kupitia ofisi ya wakuu wa mikoa.
 
Sekta ya Utalii ndio imeshajifia hivyo, ofisi nyingi zimefungwa, kilichobaki wadau wa utalii warudi vijijini kushika jembe. Utalii hauwezi kutengemaa miaka ya karibuni.
 
Sekta ya Utalii ndio imeshajifia hivyo, ofisi nyingi zimefungwa, kilichobaki wadau wa utalii warudi vijijini kushika jembe. Utalii hauwezi kutengemaa miaka ya karibuni.
Mkuu hili eneo linaongeza fedha nyingi za kigeni sidhani Kama serekali sikivu itakubaliana na chanzo hiki Cha mapato kipotee
 
Una point kubwa sana tatizo kila kitu tumeweka siasa, Waziri badala ya kufikiria hizo stimulus package anahangaika na mtu aliyeua chatu. Pathetic
 
Back
Top Bottom