Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Kutokana na ugonjwa wa corona uliosababisha taasisi nyingi kuwa locked down ikuwemo shule
Sisi Wananchi tunaiomba serkali iwalipe nusu mshahara wafanyakazi ambao wanapumzika nyumbani ili kwamba hizo fedha zisaidie katika kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na wachina

Tuungane kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na watu wabaya kutokana na tamaa ya kula mizogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Lumumba huwa inasajiri Mazuzu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuacheni masiara, ki ukweli Watanzania tuna ROHO MBAYA tena mbaya haswa . Ndo mana kesi ya mtu kutumbuliwa watu wanapiga shangwe ila akiajiriwa mtu ni kimya Ndo utajua tuna ile tabia ya BORA WOTE TUKOSE.

Honkong wao wamewapa milioni moja kwa kila alie zidi umri wa miaka 18 kwasababu ya ugonjwa huu ili kujikimu, sisi huku Bongo tunataka wengine wasilipwe mshahara..

Hivi hizi roho tunazitoa wapi jamani?

Wengine wanasema MATAJIRI WATAISHI KAMA MASHETANI.
aiseeee tuna kazi
 
Kutokana na ugonjwa wa corona uliosababisha taasisi nyingi kuwa locked down ikuwemo shule
Sisi Wananchi tunaiomba serkali iwalipe nusu mshahara wafanyakazi ambao wanapumzika nyumbani ili kwamba hizo fedha zisaidie katika kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na wachina

Tuungane kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na watu wabaya kutokana na tamaa ya kula mizogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani alikwambia wafanyakazi hawatalipwa mishahara yao kamili au ilitangazwa wapi? Au ni sheria ipi inayosema kukitokea maafa yatakayopelekea kazi kufungwa kwa muda wafanyakazi hawalipwi mishahara yao?

Huwa mnaota au?
 
Kutokana na ugonjwa wa corona uliosababisha taasisi nyingi kuwa locked down ikuwemo shule
Sisi Wananchi tunaiomba serkali iwalipe nusu mshahara wafanyakazi ambao wanapumzika nyumbani ili kwamba hizo fedha zisaidie katika kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na wachina

Tuungane kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na watu wabaya kutokana na tamaa ya kula mizogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa kweli?
 
Hapo kwenye "stimulus package" nimemuelewa vizuri sana mkubwa

Madhara ya ukosekanaji wa ajira na mapato ya ndani kwa kufungwa kwa hoteli za kitalii na sehemu muhimu vimeshaanza, ila tahadhari ya kufunga mipaka ingechukua nafasi mapema kuzuia wa ndani wa ndani na wa nje wa nje yasingefika hapa yanayoendelea sijui hili ni suala la kimtazamo tu.
 
Ni vema kuwepo na utaratibu wa kusaidia hasa sekta binafsi zitakazoathirika na janga la Covid-19. Nina uhakika sekta binafsi ambao ndio engine ya ukuaji kiuchumi zitaadhirika sana, hasa wale wategemeao kuuza bidhaa zao ng'ambo.

Nchi nyingi hasa zilizoathirika uenda biashara ikasimama hivyo kuleta hasara hasa wakulima wa maua, mbogamboga na matunda, pia wazalishaji wa viwanda watashindwa kusafirisha bidhaa zao. Mabenk nayo yachukue hatua ya kulinda makampuni hayo,

Kwa kupunguza riba na kuongeza muda wa marejesho!.
 
Serikali hii ya nchi yenye utajiri wa kisiasa kuliko fedha, sijui labda itawezekana...

Ngoja tusubirie, muda ni mwalimu....

Everyday is Saturday............... 😎
 
chikambabatu,
Aina ya uchumi tunao ufuata wanaujua CCM hawatumii ''welfare economy' uchumi ambao unainua uchumi wa mtu mmoja mmoja na sidhani km itawezekana hilo wazo lako watalii hakuna ''things will go to worse''
 
Serikali ya Tanzania ikisema ifanye lockdown na kutoa milioni 1 kwa kila Mtanzania kwaajili ya kujikimu kwa mwezi 1 gharama itakuwa ni milioni 55 ambayo kwa mapato ya serikali ni hela inayoingia ndani ya dakika 1 naomba serikali ifanyie kazi hili wazo katika kipindi hiki cha janga la Corona kama nchi nyingine zinavyochukua hatua.
 
Hivi unajua hesabu kweli wewee?? Watu mil 55 uwape mil 1 kila mtu itakuwa ni mil 55??
Samahani kama sio eneo lako kiutaalamu, kaa pembeni jifungie ndani kujikinga na Corona tafadhali ☹️☹️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 55m×1m= 55m
 
Serikali ya Tanzania ikisema ifanye lockdown na kutoa milioni 1 kwa kila Mtanzania kwaajili ya kujikimu kwa mwezi 1 gharama itakuwa ni milioni 55 ambayo kwa mapato ya serikali ni hela inayoingia ndani ya dakika 1 naomba serikali ifanyie kazi hili wazo katika kipindi hiki cha janga la Corona kama nchi nyingine zinavyochukua hatua.
Aisee. Hiyo shule umesoma ni ya kufungwa tu.

55,000,000 x 1,000,000. Iwe 55m kweli kabisaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom