Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Hiyo nusu nyingine watalipwa na nani? marekani wametoa dola 1000 kwa kila raia. nilitarajia serikali inge top up laki tano kwenye mshahra wa kila mtumishi wake ili kupambana na kuyumba kwa uchumi kulikosababishwa na korona pamoja na kutoa pesa kwa makampuni yaliyoyumba kimtaji

Inatakiwa serikali ifanye hayo na baadhi ya mataifa yamefanya hivyo...
 
Dogo acha wivu, hivi ungejua huyo mtumishi analipwa nauli pindi aendepo likizo si ungepasuka kwa wivu. Wenzako wanaombea korona ikome, we unaombea mtumishi anyimwe haki yake!
 
Kutokana na ugonjwa wa corona uliosababisha taasisi nyingi kuwa locked down ikuwemo shule
Sisi Wananchi tunaiomba serkali iwalipe nusu mshahara wafanyakazi ambao wanapumzika nyumbani ili kwamba hizo fedha zisaidie katika kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na wachina

Tuungane kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na watu wabaya kutokana na tamaa ya kula mizogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Roho za kimasiki na chuki ndio hizi sasa
 
Ni bora mkafie tu kwa corona kuliko serikali ifilisike hata uchaguzi bado mkikaa majumbani mwezzi tuu mtaandaman serikali iwape pesa mwisho wake mtaingia magogoni. Hatutaki habali hizo bado tuna miaka mingine mitano magogoni kafieni tu viwandani na corona muombeni mungu shetani ashindwe.


Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, ngoja tukafie viwandani ili mnunue robots za kuviendesha hivyo, viwanda na bidhaa mtazirundika majumbani maana mtabaki wenyewe na serikali yenu bila watu ila mashetani waleta corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tumeambiwa tufanye kazi na miradi yote iendelee na viwanda kuendelea na kazi na mikusanyiko mbalimbali kuendelea.
Mkuu hebu jaribu kulisoma baa la "Spanish flu" la 1918 linaogofya sana sana, india pekee walikufa watu Milioni 20 na ndio nchi yenye joto kama Afrika.

Afrika pia watu wengi walikufa pamoja na hali ya hewa yetu ya jua kali na joto

Sasa unaambiwa Corona ni hatari kuliko Spanish flu ya mwaka 1918

Tusifanye mzaha mzaha
 
20 Njoni, watu wangu, ingia wewe ndani ya vyumba vyako, ukafunge mlango nyuma yako ujifiche kitambo kidogo, mpaka ghadhabu hii itakapopita.

'Isaya 26:20'

Isaya aliwaasa watu siku nyingi kuhusu Quarantine
 
Ila sisi watanzania tulivyowehu, Tukiambia tukae ndani utashangaa woooote tumetoka nje kuangalia kama wote tuko ndani.
 
Kwa hiyo hata kwenye likizo ya mwezi Wa 6 na Wa 12 walimu walipwe nusu mshahara? Mana hakuna kazi muda huo
 
Maskini siku zote hutamani aliyemzidi ashuke ili nafsi yake ijiridhishe kwamba wamelingana,...... Jambo ambalo haiwezekani
 
Back
Top Bottom