Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mm ninesikiliza hotuba ya rais vizuri, huenda weww hujamuelewa. Kasema tuchukue taadhari na hapo hapo tuchape kazi. Mkuu ila kama wewe utapenda kukaa nyumbani bila kufanya kazi kaa tu kumbuka ukikaa bila kufanya kazi yoyote chakula pia kitakuw cha tabuMataifa mengi duniani yamehimiza raia kufanya kazi wakiwa majumbani na viwanda kufungwa na mikusanyiko mbalimbali kuhairishwa vile vile usafiri wa umma kufungwa hadi corona itakapothibitiwa.
Tanzania tumeambiwa tufanye kazi na miradi yote iendelee na viwanda kuendelea na kazi na mikusanyiko mbalimbali kuendelea.
Kwani tukisimamisha shughuli mbali mbali kwa ajili ya corona mapato yataporomoka na uchumi utayumba, serikali itakosa mapato, wafanyakazi hawatalipwa hali itakua mbaya kiuchumi serikali itafilisika. Mwisho wa siku watu watajazana majumbani bila pesa hali itakua mbaya watu wataandamana na hakutakua na wakuwazuia kwani hakuna pesa ya kuwalipa polisi/jeshi mshahara kuzuia maandamano, mwisho wa siku watu wataandamana hadi maeneo nyeti bila kizuizi.
Cha muhimi tuendelee kufanya kazi acha tufe na corona ila tuhakikishe uchumi hauyumbi serikali ikakosa mapato ikashindwa kujiendesha, ikafilisikamwisho watu wakaandamana ikawa balaa, tujitahidi corona isiturudishe nyuma tukashindwa kufika 2025.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mm ninesikiliza hotuba ya rais vizuri, huenda weww hujamuelewa. Kasema tuchukue taadhari na hapo hapo tuchape kazi. Mkuu ila kama wewe utapenda kukaa nyumbani bila kufanya kazi kaa tu kumbuka ukikaa bila kufanya kazi yoyote chakula pia kitakuw cha tabu
Wenye akili tumekuelewa kejeli yako
Wenye akili tumekuelewa kejeli yako
Kutokana na ugonjwa wa kichina uliosababisha taasisi nyingi kuwa locked down ikuwemo shule
Sisi Wananchi tunaiomba serkali iwalipe nusu mshahara wafanyakazi ambao wanapumzika nyumbani ili kwamba hizo fedha zisaidie katika kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na wachina
Tuungane kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na watu wabaya kutokana na tamaa ya kula mizogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hopeless comment! Unajua shetani ni nini?Kumbe Coronavirus ni shateni, watanzania tukeshe tukiomba ile tumshinde huyu shetani. Ni jambo la ajabu karne hii ya 21 kutamkwa na mtu mwenye elimu ya Phd