wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Sijui serikali itanunua chakula na kugawa kwa muda gani?maana hatujui janga litaisha lini. Hali kadhalika sijui iitawafidia wafanyabiashara na kulinda ajira za wafanyakazi sekta ya utalii kwa muda gani.je ugonjwa ukiwa endelevu kwa mwaka mmoja aù miaka kadhaa? Nawaza sipati jibu na hizo sanitiza tutanawa mpaka lini sijui. Naona tunautazama huu ugonjwa kwa namna ya mlipuko wa muda mfupi, na ninaombea iwe hivyo.ukituganda kwa muda mrefu sijui hali itakuwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kule Geita kwny mkutano walilia ooh mkuu njaa wakaambiwa mlitaka mimi nije niwapikie,wengine wa tetemeko waliambiwa serikali haikuleta tetemeko sa hata hii corona haikuletwa na serikali.