Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona


Watu kule Geita kwny mkutano walilia ooh mkuu njaa wakaambiwa mlitaka mimi nije niwapikie,wengine wa tetemeko waliambiwa serikali haikuleta tetemeko sa hata hii corona haikuletwa na serikali.
 
Umesahau sisi Ni Donor country

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Bora nyote mkose... Roho ya shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafurahi kukuona dada Nifah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto,
Ukipata nafasi uongee na gavana wa BoT kwenye ile akiba yetu ambayo huwa wanasema hata tukikaa miezi mitano bila kufanya kazi tuko sawa. Muambie sasa ni wakati wa kufunga mipaka ili tusiandikie mate.
 
Ushauri mzuri. Lakini kuna mambo ya msingi sana ya kuangalia. Kwanza ni namna ya kuiokoa maisha ya watu. Sioni tija ya kuongea na wafanyabiashara kama watu wapo hatarini kufa bila msaada wa haraka sana.

Mpaka tulipofika, inabidi serikali isitishe kwa haraka matumizi makubwa ya fedha kwenye miradi ya ujenzi na hata kulipa madeni. Hii itatusaidia kulikabili hili janga kwa kulenga zaidi kuokoa maisha ya watu. Bila watu utazalisha umeme umzalishie nani? Au barabara mtawatengenezea mbwa na wanyama pori?

Bunge kama bado lipo lijikite kuielekeza serikali kusitisha mambo hata yale yanayoonekana ya muhimu lakini yasiyo na uharaka. Tujikite kuhakikisha tunaiokoa maisha ya watu kwanza.

Serikali iandae mpango wa haraka wa kusambaza mahitaji muhimu pale itakapobidi. Hii inatokana na ukweli kuwa endapo hali itakuwa mbaya watu hawataweza kukaa ndani muda wote. Wengine wataenda hata kuiba ili waweze kuishi.
 
Wengine wanavaa gloves utafikiri waenda safisha vidonda elimu bado inahitajika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utalii utasimamishwa muda si mrefu. Serikali isihangaike na hayo mambo aliyosema Zitto. Hayo ni endapo hali itatengamaa mapema.

Kabla ya hapo ni lazima tuangalie namna ya kuyalinda maisha ya watu wa kawaida kwanza. Kukimbilia kulinda makampuni ya utalii huku watu hawana hata chakula sijui kama ni wazo la kuyokea wapi.

Serikali inapaswa kusitisha kwa muda matumizi yote yanayoelekezwa kwenye miradi mikubwa kwa miezi angalau minne ili kuihami jamii kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…