Atoke wapi Anko. Toka lini kuku anakufa kwa utitili?Tupeane update wakuu, hv mpk ss kuna mwafrika mweusi aliyekufa kwa COVID19
Sent using Jamii Forums mobile app
Elezea kidogo mkuu hali halisi unayoiona wewe usikute wewe n doctor mkuu hapa tz!Kimsingi huu ugonjwa unapewa attention ambayo haiendani na uhalisia wa madhara yake. Taharuki ni kubwa kuliko tatizo halisi.
Wiki mbili za kwanza baada ya maambukizi zitatupa majibu na direction ya kufuata. Kwenye compromised immunity kuna mambo mengi ya kuconsider ili kupata muelekeo wa kiwango cha athari na factors nyingine bado ni subject of research.Kwa mfano suala la extent gani covid 19 anaweza kumuathiri mtu mwenye HIV akawa severe bado liko kwenye research, halijawa proved either way. Pia nchi kama India waliamua kuruhusu hiv antiviral drugs kutumika kusupress covid 19 kwa waathirika wa hiv waliopatwa na corona,na matokeo yakawa yanatia moyo, lakini bado is a subject of research.Umefafanya vizuri kuwa vifo vingi vinatokana na kuwa na afya isiyo njema au kwa lugha nyingine afya yenye kinga hafifu( compromised immunity) kwa ulaya unaona wazee ndio wengi hivi umewaza kuwa kusini mwa sahara watu wenye compromised immunity ni wengi sana na wanahusu karibu makundi yote ya umri?
HIV, Malnutrition, low SES haya ni mambi tatakayozidisha vifo vya Corona kusini mwa Sahara.
Hana lolote huyu, anatafuta kik ya kisiasa tu. He is one of best opportunists we have in our country. Angekuwa anajali maisha ya watu angetumia nafasi yake kuelimisha watu jinsi ya kujikinga na maambukizi, badala yake anatafuta cheap popularity kwa hoja ambazo haziwezi kutusaidia wananchi kujikinga na maambukizi.Umeegemea katika taaluma yako ya Uchumi, Naona umesahau jambo moja la muhimu zaidi, elimu zaidi kuhusiana na virusi hivi, Watanz
Wakati nyie mnajadili habari za kuthibiti corona wenzenu wabunge haohao hawaelewi.Nimesoma jinsi ambavyo kamati ya bunge wanaendelea kwa pamoja kufanya ziara kwenye Chuo Cha Maendeleo ya Jamii na kusababisha mkusanyiko usiokuwa wa lazima.Nadhani ni vema na wao wakaepuka mkusanyiko.Ndugu yangu Zitto mbunge mwenzio Mb Msigwa alitaka bunge lijadili ugonjwa wa Corona, CCM kwa uwingi wao wakasema hatutaki habari hizo hapa bungeni sasa atakusikia nani? Watanzania bado hatujitambui labda mpaka aseme Kibajaji.
Na wale wanaume wengi waliowapiga wakina mama na kuwavunja mikono nao wako wapi.Corona imewaokoa auKwa hiyo ebola iko wapi sasa?
Ndio shida ya kufuataaga akili za kigogo wa twiter
Sent using Jamii Forums mobile app