Leo nilienda Mlimani City kwa shughuli zangu binafsi, niliyoyaona yamenisikitisha sana. Watu wamejawa na ulimbukeni wa ajabu, wanavaa zile mask kama fashion huku wakiwa hawazingatii tahadhari nyingine.
Hoja msigwa sio zitto. Kachelewa kujuaHaya ndiyo maneno, hizi ndizo hoja tunahitaji wana CCM, siyo mipasho wa wakatikia kuni akina Lema na Mbowe.
Nadhani Mmawia na genge la wahuni wenzako akina Nyonyoma mnaelewa sasa maana ya hoja, mwezenu kaleta maoni yaliyojaa hoja na serikali lazima itie jicho hapa.
Mavi ya kale hayanuki, na ndipo baadhi yenu wapinzani tunasema uelewa wenu mdogo kama pimbiHoja msigwa sio zitto. Kachelewa kujua
Pompeo ni waziri wa nini Tanzania?Hapa kwenye utalii ndiyo palitufanya kuwa mabubu wa Ebola mpaka Pompeo alitusuta.
Zitto hizo stimulus package zitasababisha shilingi yetu kushuka sana thamani kwani zitailazimu serikali kuflood mtaani pesa kupitia Quantitative EasingSerikali itazame namna ya kuwafidia (stimulus package) wafanyabiashara Katika sekta hiyo ili kulinda ajira za Wananchi. Ikiwezekana fidia iwe ni kulinda ajira kwa kufidia gharama za wafanyakazi ( payroll costs).
unafananisha Marekani na Tanzania, ? Tanzania uwezo huo haupo sisi bado ni masikini.Trump ametangaza dola 1000 kila familia Marekani leo na zile zenye watu wengi wataongezewa dola 500.
Hao ndio wanajua thamani ya mwananchi.
inaonekana wewe hata hujui umuhimu wako wala majukumu yako katika nchi yako.
Pathetic
Kufa kwa nja na kufa kwa corona kipi ni bora?Makampuni ya utalii na Hotels nyingi sana Arusha zimewapa wafanyakazi wao likizo isiyo na malipo kutokana na mlipuko wa Corona...swali langu ni kwamba Je ni sawa kuwafukuza wafanyakazi kwa njia hii?..naomba serikali iingilie kati kwani tutakufa kwa njaa.
Rudi kwenye mkataba wako, tazama kama mkataba umeahinisha wafanyakazi kupewa likizo isiyo ya malipo ikiwa patatokea ugonjwa wa mlipuko.Makampuni ya utalii na Hotels nyingi sana Arusha zimewapa wafanyakazi wao likizo isiyo na malipo kutokana na mlipuko wa Corona...swali langu ni kwamba Je ni sawa kuwafukuza wafanyakazi kwa njia hii?..naomba serikali iingilie kati kwani tutakufa kwa njaa.
Sawa ya kale yangesikilizwa tusingekuwa na maabara moja darMavi ya kale hayanuki, na ndipo baadhi yenu wapinzani tunasema uelewa wenu mdogo kama pimbi
Hapo inabidi na utu utumike pia aisee[emoji848]Rudi kwenye mkataba wako, tazama kama mkataba umeahinisha wafanyakazi kupewa likizo isiyo ya malipo ikiwa patatokea ugonjwa wa mlipuko.
Kama hakuna kiengele/makubaliano hayo, basi muajiri anapaswa akulipe kwasababu yeye ndie ameamua kukupa likizo. Na ikiwa muajiri atakaidi, basi unapaswa umuwajibishe kwa kumchukulia hatua za kisheria.
Sent using Jamii Forums mobile app