Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Trump ametangaza dola 1000 kila familia Marekani leo na zile zenye watu wengi wataongezewa dola 500.
Hao ndio wanajua thamani ya mwananchi.

inaonekana wewe hata hujui umuhimu wako wala majukumu yako katika nchi yako.
Pathetic
Kujua neno pathetic basi umejiona una elimu ya kujua mambo ya dunia na uchumi??
Utakuwa kilazakweli kweli haina haja hata kukuelimisha hapa na neno pathetic ni juu yako kwani huna uelewa
 
Mara nyingi nimekuwa nikiiona michango ya Zitto ni ya kiupinzani tu kulaumu serikali kwa madhumuni ya kulaumu tu kwa kuwa yuko upinzani. Bandiko lake la leo ni tofauti. Anachambua suala na kutoa mapendekezo tufanyeje. Hata kama mtu hukubaliani na mapendekezo yake, yeye ametoa mawazo yake bila kuegemeza kwenye uchama. Kwa hiyo yapinge kwa kutoa hoja kwa nini isiwe vile anavyopendekeza. Hivi ndivyo upinzani halali unapaswa kufanya. Vyama vyote vya siasa vikiwa vinafanya hivi ukumbi wa kisiasa nchini utabadilika kabisa na hakutakuwa na malumbano yasiyo na tija tunayoyashuhudia hivi sasa.
Anapingwa kwani mawazo yake haiakisi uhalisia wa kiuchumi wa Tz wakati yeye sijui ni graduate wa uchumi wa chuo gani, in fact hii inatufanya tuangalie uhalali wa hiyo degree yake, inawezekana ni digirii na sio degree
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mishahara mipya 2020/21 kwa watumishi wa umma wasio na maana na tija hatutaiona. Nikisema watumishi wasio na tija mtajua kuwa namaanisha kundi gani according to Jiwe.

Na sasa limekuja dubwana liitwalo corona ambalo litaathiri ile 25% itokanayo na utalii, pia itamega pesa za izara fulani kupambana nalo ndo zaidi sababu iko wazi hakuna wa kulaumiwa.

Tufanye kazi kwa bidii, ukichoka kazi unaondoka polepole.

Lazima nizungumzie maslahi yangu katika kila hali maana hakuna kipindi ambacho sihitaji kula, kuvaa na kulala.
 
1584528598706.png
 
alubati,
Yaa you are right comrade. Tuweke juhudi, bidii na resources zetu kwenye kupambana na Corona, kwanza ast individuals levels na pili kama Taifa. Let us contain CORONA kwanza, hayo mengine ni ya kufuata when WE ARE SAFE. Hata hivyo vikao vya nini, sisi tupambane na CORONA kwanza kama tunavyo elekezwa na viongozi wetu na wataalam wa afya.
 
kerubi afunikaye,
Tuna waathirika wa ngoma na wabebaji kibao wa vidudu vya malaria, UTI, minyoo tofauti na wenzetu wa ulaya

Unafikiri Corona ikiingia kwa hao shughuli yake ndogo?
Kinga ya mwili lazima inyooshe mikono juu.

Aisee tuna haja ya kuwa serious na huu ugonjwa
 
Serikali itazame namna ya kuwafidia ( stimulus package) wafanyabiashara Katika sekta hiyo ili kulinda ajira za Wananchi. Ikiwezekana fidia iwe ni kulinda ajira kwa kufidia gharama za wafanyakazi ( payroll costs)

Tuwe waangalifu kuiga sera za nchi zilizoendelea ili kukabili matatizo yetu. Hili suala la payroll costs linaweza kufanya kazi katika nchi ambazo uchumi wake una watu wengi waajiliwa; kwa nchi kama yetu to stimulate the economy ni lazima tuwe na sera za kusaidia kilimo zaidi kwani kule ndio kuna majority ya population!! Marekani wanawagawia wananchi wao wote fedha taslimu $1000 kuanzia wiki ijayo je na sisi tutaiga hivyo?

We should analyze our specific situation and come with policy recommendations that are relevant to our situation. To help the private sector recover the priority should be the control of the spread of the corona virus because that is what will affect the demand side of the equation. Hata ukiwapa sector zote subsidy and call it by any other name, bila kuthibiti pandemic hii we will never recover!!!
 
Yes, well said..
alubati,
Yaa you are right comrade. Tuweke juhudi, bidii na resources zetu kwenye kupambana na Corona, kwanza ast individuals levels na pili kama Taifa. Let us contain CORONA kwanza, hayo mengine ni ya kufuata when WE ARE SAFE. Hata hivyo vikao vya nini, sisi tupambane na CORONA kwanza kama tunavyo elekezwa na viongozi wetu na wataalam wa afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zito wazo LA kwanza ndilo linaloakisi mahitaji ya Leo hayo mengine tusubir lkn hilo LA kwanza Sijui serikali inaweza kulitekeleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Kuna hoja inajadiliwa na wanajamii forums ambayo inahitaji mjadala mpana ili kupata muafaka kama taifa; Ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona bila kuathiri maendeleo ya kiuchumi na kijamii;

  1. Serikali ifunge mipaka? hii inamaanisha kuzuia watu na bidhaa kuingia kwenye mipaka ya Tanzania.
  2. Serikali idhibiti mipaka? hii inajumuisha kukagua kwa makini bidhaa na watu kuingia kwenye mipaka yetu.
Mjadala huu unaweza kusaidia watunga sera wetu kwenye janga hili la ugonjwa unaoenezwa na virusi vya Corona au mlipuko wa ugonjwa wowote siku zijazo.
 
Zitto umeongea point ila swala la serikali kulipa watu wasiofanya kazi hilo litakuwa gumu
 
Kujua neno pathetic basi umejiona una elimu ya kujua mambo ya dunia na uchumi??
Utakuwa kilazakweli kweli haina haja hata kukuelimisha hapa na neno pathetic ni juu yako kwani huna uelewa
Humu kukosoa bila kutumia maneno kama 'pathetic' na 'complex inferiority' mtu haonekani msomi
 
Back
Top Bottom