Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Kujua neno pathetic basi umejiona una elimu ya kujua mambo ya dunia na uchumi??
Utakuwa kilazakweli kweli haina haja hata kukuelimisha hapa na neno pathetic ni juu yako kwani huna uelewa
Hivi kabla ya kuandika haya ambayo akili yako imekuongoza kuyaweka kwenye maandishi ulijiridhisha na nilichojibu with relation to his comment au umekurupuka na kukaa na personal attacks as if wanifahamu?

Sasa mimi na wewe nani anaonekana narrow minded person yakilinganishwa maelezo yetu? Mjifunze hata jinsi ya kuchangia hoja ambazo zimewazidi uwelewa na si kukurupuka tu coz hayo uliyoyaeleza hayana funzo wala point yoyote kuhusiana na thread husika.

Wewe ndio huna uelewa.
 
unafananisha Marekani na Tanzania, ? Tanzania uwezo huo haupo sisi bado ni masikini.
Mkuu kukueleza swala la Marekani si kwasababu ni nchi tajiri wanauwezo wa kufanya hivyo bali kukuonesha jukumu la serikali kwa watu wake pale wanapopatwa na majanga baada ya wewe kusema kuwa serikali isaidie kwani yenyewe ndio imeleta Corona?

Kumbuka kila serikali Ina mfuko wa maafa na unajazwa na kodi zetu na yako pia ikiwemo so ni jukumu la serikali kusaidia wananchi wake pale maafa yanapotokea.

Mwelimishe rafiki yako August maana ni mkurupukaji asiye na hoja zaidi ya kuwa na ulimbukeni wa hoja.
 
Ndugu watanzania wenzangu,

Kama mtanzania mpenda maendeleo napenda kutoa wazo langu mapema la kuona masoko na viwanda vya bidhaa za chakula vipo chini ya uangalizi maalumu.

Naamini serikali yetu ipo tayari kupambana na kuhakikisha usalama wa raia wake, katika hili janga la kimataifa la ugonjwa huu.

Mh. Rais, Waziri mkuu na viongozi mbalimbali wameshatoa taarifa za msingi na ushauri kwa watanzania na wataendelea kutoa miongozo zaidi ila wananchi bado wanaendelea kupeana mikono na kuleta mzaha wakifikiri ugonjwa huu ni maigizo.

Pendekezo langu ni kuona task force zinaundwa na ziwe katika kila soko la bidhaa za chakula, pia magari yanayoingia na kusafirisha chakula wamiliki wa hayo magari wapewe taarifa ya kufanya usafi wa vyombo hivyo pia vikaguliwe vikiwa na mizigo wakati wa kuingia na kutoka mjini.

Hatua zilizochukuliwa za kufunga shule na vyuo ni hatua njema kabisa, ila pengine kesho tuanze kuona hatua zaidi katika masoko ya chakula.

Mwisho, Watanzania wenzangu tusilete utani na mzaha katika Ugonjwa.

Mungu Isaidie Tanzania.
 
Takataka ya Ufipa hii.
Mkuu kukueleza swala la Marekani si kwasababu ni nchi tajiri wanauwezo wa kufanya hivyo bali kukuonesha jukumu la serikali kwa watu wake pale wanapopatwa na majanga baada ya wewe kusema kuwa serikali isaidie kwani yenyewe ndio imeleta Corona?
Kumbuka kila serikali Ina mfuko wa maafa na unajazwa na kodi zetu na yako pia ikiwemo so ni jukumu la serikali kusaidia wananchi wake pale maafa yanapotokea.
Mwelimishe rafiki yako August maana ni mkurupukaji asiye na hoja zaidi ya kuwa na ulimbukeni wa hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo yako mazuri Lakini ni ya mbele zaid.

Kwa sasa wacha tuungane kwa pamoja kutafuta Amani na utulivu wa watu wetu kwa kuwapa elimu zaid na zaid kwa sasa wananchi ni muhimu zaid kushinda hivo vikao vya bunge.

Maana mnaweza kukaaa na kujadili hayo yote wakati wananchi wenu wanateketea kwa moto...
For whom benefit that parliament discussion will?
 
Takataka ya Ufipa hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuelezea jukumu la serikali kwa watu wake kwa majibu wa Muongozo wa nchi ndio takataka?
Basi kama mimi ni takataka basi we utakuwa ni yale maji yaliyomo kwenye septic chamber yakisubiri kusukumwa kuelekea down the slope.
 
Nifah,
Kwani huyo mama amekosea nini hapo kwa kumshauri mwanae kunawa na sabuni na maji ya moto dada?
 
fyddell,
Unarudia ujinga ule ule , we kufikiria kwamba serikali ifanye, wakati unajua uchumi wetu hauwezi kufanya, hivyo ndio maana na kuona unaongea/ kuandika utoto, responsibility ya Baba na kitu wanavyofanya Baba kutategemeana na uwezo wa Baba.

ndio maana huku mitaani tunatofautiana vitu vingi, iwe nyumba, shule tulizosoma, Maisha ya kila siku, gari unalotumia au una mangapi n.k

Sasa wewe nimemuona Jirani kapeleka mtoto ist n.a. wewe unasema umpeleke huko,.......
 
Usisahau kuwa bunge likiitishwa jamaa wanalamba BINGO at our expense!!! Tupambane kwa kutoa elimu kwa wananchi jinsi ya kupambana na kujikinga na COVID-19!!
Siku zote huwa tunapigania masilahi ya wanasiasa kuliko yetu,yani mambo yenye kuwahusu sana wanasiasa na yenye manufaa kwao sie ndio tunapiga kelele hayo kuliko mambo yenye manufaa zaidi kwetu wananchi.
 
Hii ndio muarobaini wa corona..kuna baadhi ya nchi tayari wamefanya hivi..ikiwa hadi sasa tuna wagonjwa watatu tu ni rahisi zaidi kuzuia ugonjwa huu kuingia nchini kwa kutumia njia hiyo.

Lakini kuruhusu wageni kuingia hili linaleta ugumu zaidi kuwasort na kuwatenga kwa wiki mbili..kesho wengine tena wanaingia.

Kenya leo imeamuru raia wawili toka italy waliokuwemo ndani ya ndege ya ethiopian wenye dalili za corona kusalia humohumo ndani ya ndege na kuwaamuru wenye ndege kuwarudisha addis ababa,

pia wamewarudisha raia 13 wa china waliotaka kuvuka mpaka wa horohoro wakitokea tz kurudi tz baafa ya kuonekana wameingia Tz tarehe 16 na kushindwa kukaa karanteen kwa siku 14.

Hiyo ndio njia sahihi na ya uhakika kupambana na corona kulikoni kusubiria iingie nchini halafu tunatangaza wagonjwa wameongezeka ili hali wote wagonjwa wanatoka nje ya nchi,jambo hili linaleta taharuki kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawaza chamber tu huko ndiko akili yako imefichama.
Hivi kuelezea jukumu la serikali kwa watu wake kwa majibu wa Muongozo wa nchi ndio takataka?
Basi kama mimi ni takataka basi we utakuwa ni yale maji yaliyomo kwenye septic chamber yakisubiri kusukumwa kuelekea down the slope.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngusillo,
Teyari kuna hoja zimeanza kutolewa kuwa kutokana na hili janga,nchi za kiafrika zenye madeni makubwa zisamehewe madeni yake hivyo wacha tusubiri kama jambo hili litakuwa implemented.
Bila kulipigia kelele hakuna wa kusikiliza. Ikiwezekana akina Kabudi wangemwandikia katibu mkuu UN, World Bank na IMF kuwataarifu mambo ya aina hiyo.

Pia miradi ya ndani inayohcukua fedha nyingi isitishwe haraka. Miezi miwili ijayo mapato yatarudi enzi ya Nyerere tusipoangalia.
 
Back
Top Bottom