fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Hivi kabla ya kuandika haya ambayo akili yako imekuongoza kuyaweka kwenye maandishi ulijiridhisha na nilichojibu with relation to his comment au umekurupuka na kukaa na personal attacks as if wanifahamu?Kujua neno pathetic basi umejiona una elimu ya kujua mambo ya dunia na uchumi??
Utakuwa kilazakweli kweli haina haja hata kukuelimisha hapa na neno pathetic ni juu yako kwani huna uelewa
Sasa mimi na wewe nani anaonekana narrow minded person yakilinganishwa maelezo yetu? Mjifunze hata jinsi ya kuchangia hoja ambazo zimewazidi uwelewa na si kukurupuka tu coz hayo uliyoyaeleza hayana funzo wala point yoyote kuhusiana na thread husika.
Wewe ndio huna uelewa.