Kujua neno pathetic basi umejiona una elimu ya kujua mambo ya dunia na uchumi??Trump ametangaza dola 1000 kila familia Marekani leo na zile zenye watu wengi wataongezewa dola 500.
Hao ndio wanajua thamani ya mwananchi.
inaonekana wewe hata hujui umuhimu wako wala majukumu yako katika nchi yako.
Pathetic
Anapingwa kwani mawazo yake haiakisi uhalisia wa kiuchumi wa Tz wakati yeye sijui ni graduate wa uchumi wa chuo gani, in fact hii inatufanya tuangalie uhalali wa hiyo degree yake, inawezekana ni digirii na sio degreeMara nyingi nimekuwa nikiiona michango ya Zitto ni ya kiupinzani tu kulaumu serikali kwa madhumuni ya kulaumu tu kwa kuwa yuko upinzani. Bandiko lake la leo ni tofauti. Anachambua suala na kutoa mapendekezo tufanyeje. Hata kama mtu hukubaliani na mapendekezo yake, yeye ametoa mawazo yake bila kuegemeza kwenye uchama. Kwa hiyo yapinge kwa kutoa hoja kwa nini isiwe vile anavyopendekeza. Hivi ndivyo upinzani halali unapaswa kufanya. Vyama vyote vya siasa vikiwa vinafanya hivi ukumbi wa kisiasa nchini utabadilika kabisa na hakutakuwa na malumbano yasiyo na tija tunayoyashuhudia hivi sasa.
Who is Pompeo?Hapa kwenye utalii ndiyo palitufanya kuwa mabubu wa Ebola mpaka Pompeo alitusuta.
Serikali itazame namna ya kuwafidia ( stimulus package) wafanyabiashara Katika sekta hiyo ili kulinda ajira za Wananchi. Ikiwezekana fidia iwe ni kulinda ajira kwa kufidia gharama za wafanyakazi ( payroll costs)
Hii sasa inategemeana na mahusiano mazuri kati ya muajiri na muajiriwa.
alubati,
Yaa you are right comrade. Tuweke juhudi, bidii na resources zetu kwenye kupambana na Corona, kwanza ast individuals levels na pili kama Taifa. Let us contain CORONA kwanza, hayo mengine ni ya kufuata when WE ARE SAFE. Hata hivyo vikao vya nini, sisi tupambane na CORONA kwanza kama tunavyo elekezwa na viongozi wetu na wataalam wa afya.
Humu kukosoa bila kutumia maneno kama 'pathetic' na 'complex inferiority' mtu haonekani msomiKujua neno pathetic basi umejiona una elimu ya kujua mambo ya dunia na uchumi??
Utakuwa kilazakweli kweli haina haja hata kukuelimisha hapa na neno pathetic ni juu yako kwani huna uelewa