Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

Angekuwa hivyo asingekubali kuhongwa ili auwe upinzani
 
Mvurugaji asie na sifa ya kua hata mwenyekiti wa Kijiji, alipewa ubunge kigoma miaka 15 na hakuna kitu chochote kile alichofanya ambacho anaweza kusimama na kujitetea
Sio kweli mkuu, akiwa mbunge alitimiza wajibu wake wa kutunga sheria, kuwakilisha mahitaji na maoni ya wanajimbo lake na kuisimamia serikali. Mkuu usichanganye mambo ya serikali na mbunge.
 
Hata Nkurunziza alianza hivi hivi.
Hata Magufuli alianza hivi hivi kuwatuma watu walete hoja hiyo na akaenda mbali zaidi kuhujumu uchaguzi mkuu 2020 na kuingiza misukule yake bungeni kumuandalia urais wa milele bahati nzuri Mungu akaingilia kati.
 
Kwa jinsi Zitto alivyokubuhu kwa unafiki, tusubiri kuna mbinu atafanya tu ili aendelee kuwa mtu mwenye sauti ya mwisho katika chama chake. Zitto anaweza hata aweke kiongozi boya na yeye aendelee kuongoza chama bila kuwa na title ya kiongozi mkuu au hata kubadilishana nafasi na kuwa nwenyekiti.

All in all bila kujali atashika nafasi yenye jina gani zitto ndiye atakayeendelea kuwa kiongozi wa ACT.

Mind hakuna mwanasiasa mnafiki kama huyo.
 
Sio kweli mkuu, akiwa mbunge alitimiza wajibu wake wa kutunga sheria, kuwakilisha mahitaji na maoni ya wanajimbo lake na kuisimamia serikali. Mkuu usichanganye mambo ya serikali na mbunge.
Nacho zungumzia ni ahadi zake alizokua anatoa na hakuwahi kuzitimiza mpaka kesho
 
Mbowe na kundi lake hawatafurahia huu msimamo aisee
 
Pamoja na usnitch wake wote, iwapo Zito ataheshimu time limit kwenye cheo chake, nitampa heshima fulani. Ni kinyaa kwa kiongozi kukaa madarakani kwa muda mrefu.
Copy:Freeman Aikael Mbowe
 
Mvurugaji asie na sifa ya kua hata mwenyekiti wa Kijiji, alipewa ubunge kigoma miaka 15 na hakuna kitu chochote kile alichofanya ambacho anaweza kusimama na kujitetea
Makazi yake ya kudumu ni Dar
 
naweka precedent ❌️
ninaweka precedence ✅️
Wewe ndiye una makosa.

Precedent means an earlier occurrence” or “something done or said that may serve as an example

Precedence priority of importance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…