Aisee hamas wanampa Netanyahu mashari hadi Netanyahu anachafukwa kabisa.Kwenye hii vita hamas kashinda hatari hatariHamas wameishatuma majina Natenayahu sijui anataka majina gani tena anaumia sana maana moja ya merengo yake ya vita kuwarudisha mateka Israel kwa kuwakomboa sasa anapewa masharti na Hamas.
Israel hawezi kitu kabisa.Waarabu wamemchakaza vibaya sana hana ham kabisaHizo story sijui Entebe, vita siku 6 za uonga tu zamani kulikuwa hamna madia zaidi za kwao walikuwa wanajisifia tu, ukweli ni huu hapo Gaza.
Dunia yote wameona kaeneo kama Gaza wana kila kitu nwaka na nusu hamna la maana zaidi ya kuuwa watoto na kubomoa nyumba.
Jamaa wameibuka na Toyota zao tayari kwa msafara wa kupeleka mateka.Aisee hamas wanampa Netanyahu mashari hadi Netanyahu anachafukwa kabisa.Kwenye hii vita hamas kashinda hatari hatari
BREAKING: Abu Obaida, the military spokesperson for the Al-Qassam Brigades, announced that as part of the prisoner exchange deal, the Al-Qassam Brigades has decided to release the following Israeli prisoners today, Sunday, January 19, 2025:Israel hawezi kitu kabisa.Waarabu wamemchakaza vibaya sana hana ham kabisa
Kuhusu kuwekewa chip au GPS sio rahisi maana teknolojia ipo ya kubaini mtu aliyewekewa vifaa hivyo. Sema ninachofikiri mimi Israel lengo lake ni kuwapata mateka wake , hivyo akishafanikiwa kuwapata tutasikia amerudi kuitwanga tena Gaza.
Pia kutokana na jinsi waarabu walivyo wasaliti na rahisi kurubuniwa inawezekana tayari deal limefanyika baina ya Israel na baadhi ya mateka wa kipalestina kuwahakikishia maisha mazuri na Mshiko wa maana kama watakubali kuwa mawakala wao. Hao hao mateka wa kipalestina ndio watakaokuwa wanauza ramani na mipango ya wenzao. Asilimia kubwa ya waarabu husalitiana wao wenyewe