Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Inamaana Israeli mwaka mzima hapo kwenye hako kamtaa ka Gaza ameshindwa kuwapata mateka wapi? Pamoja na uhodari wa mossad na Idf kweli ameshindwa kulijua chimbo walipofichwa hao mateka?.

Ngoja tuone mwisho wa hii movie.
 
😂😂

Netanyahu akisema Hamas haitasalia Gaza, na picha inayoonyesha kinyume kabisa.
 
Hiyo gaza yenyewe ukubwa wake ni km 25 urefu upana 5km Kwa 12 km. Wayahudi hapo wamepgana mwaka 1 na miezi 3 lakini mafanikio ya kuokota mateka 0%.
Wamegundua si rahisi kushinda dhidi mujahideen militia wamekubali yaishe mabadilishano ya watu 37 Kwa 1900 ni ushindi mkubwa.
Nb.
Wapalestina hawataacha kupigana Leo, kesho, Wala keshokutwa.
 
⚡️⭕️ Zionist journalist Zvi Yehezkeli:

- When I watch videos of #Hamas militants among happy people and us angry, I realize that we have done nothing in a year and 5 months.. We only destroyed homes and bereaved our children.

- We did not eliminate #Hamas and we did not achieve anything
In the Middle East, when you do not accomplish something, you will have to accomplish it later and at the expense of our blood
 

⚡️⭕️ Mwandishi wa habari wa Kizayuni Zvi Yehezkeli:

- Ninapotazama video za wanamgambo wa #Hamas kati ya watu wenye furaha na sisi tukiwa na hasira, nagundua kuwa hatujafanya lolote kwa mwaka mmoja na miezi 5. Tuliharibu nyumba tu na kuwafiwa watoto wetu.

- Hatukuiondoa #Hamas na hatukufanikiwa chochote
Katika Mashariki ya Kati, usipotimiza jambo fulani, itabidi ulitimize baadaye na kwa gharama ya damu yetu
 
Muisrael 1 = Wapalestina 57

Kweli maharamia wa Kipalestina hawana thamani.

GOD BLESS ISRAEL
 
Muisrael 1 = Wapalestina 57

Kweli maharamia wa Kipalestina hawana thamani.
Wewe una thamani gani baba yako huko kijijini bado anakunya kwenye shimo huku anaumwa UTI sugu😂
 
⚡️⭕️ #Hamas:

Wafungwa wetu mashujaa wana tarehe na uhuru kuanzia leo, na ni agano letu thabiti nao daima hadi watakapovunja minyororo ya mlinzi wa gereza.

- Pamoja na kuingia kwa kusitisha mapigano; tunathibitisha dhamira yetu ya kutekeleza masharti ya makubaliano hayo, ambayo ni matunda ya uthabiti na subira ya watu wetu wakubwa, na uthabiti wa hadithi ya upinzani wetu wa kishujaa mbele ya ugaidi na mauaji ya Kizayuni.

- ⁠Wafungwa wetu mashujaa wana tarehe na uhuru kuanzia leo, na ni agano letu thabiti nao daima, hadi watakapovunja minyororo ya mlinzi wa jela na kupumua uhuru katika anga ya Palestina.

-Tunafuatilia shughuli za kuleta misaada na kutoa misaada kwa watu wetu kwa kila kitu kinachohitajika, na tunathibitisha kufanya kila juhudi kutoa mahitaji yote muhimu ya msaada na usaidizi ili kurejesha mzunguko wa maisha katika Ukanda wa #Gaza katika hali ya kawaida. .
 
Back
Top Bottom