Zoezi la Ubadilishaji wa Noti za Zamani Mwisho Kesho

Zoezi la Ubadilishaji wa Noti za Zamani Mwisho Kesho

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
1743770698446.png

​
Zoezi la ubadilishwaji wa noti za zamani lililoanza tarehe 06 Januari 2025 linatarajiwa kumalizika tarehe 05 Aprili 2025 ambapo matumizi ya noti hizo yatafikia ukomo wa kuwa fedha halali za Tanzania.

Baada ya tarehe hiyo, mtu yeyote au taasisi yoyote inayomiliki fedha hizo haitaruhusiwa kuzitumia katika kufanya malipo popote nchini; na benki zote hazitaruhusiwa kulipa wala kupokea amana au maombi ya kubadilisha noti zilizoondolewa kwenye mzunguko.

Soma BoT yatolea ufafanuzi wa Noti ya shilingi 10,000 na Shilingi 5,000 toleo la 2003 zinazoondolewa kwenye mzunguko​
 
Zoezi la ubadilishwaji wa noti za zamani lililoanza tarehe 06 Januari 2025 linatarajiwa kumalizika tarehe 05 Aprili 2025 ambapo matumizi ya noti hizo yatafikia ukomo wa kuwa fedha halali za Tanzania.

Baada ya tarehe hiyo, mtu yeyote au taasisi yoyote inayomiliki fedha hizo haitaruhusiwa kuzitumia katika kufanya malipo popote nchini; na benki zote hazitaruhusiwa kulipa wala kupokea amana au maombi ya kubadilisha noti zilizoondolewa kwenye mzunguko.​
noti mpya zishaatolewa? nioneshe picha zake kama unazo
 
Kwa hiyo hizi pesa zilikuwa bado zipo kwenye mzungukooo?
 
Kwahiyo kuna watu walikuwa wanatumia hizi fedha?
 
Hatariiii
Lakini mbona Nina Mia tano ya zaman ya noti hapa kila duka nilienda wanaikataa wanasema imeshapitwa na wakati kumbe serikali wanatambua kuwa zipo kwenye mzungukooo
 
Lakini mbona Nina Mia tano ya zaman ya noti hapa kila duka nilienda wanaikataa wanasema imeshapitwa na wakati kumbe serikali wanatambua kuwa zipo kwenye mzungukooo
Mie nilikua nayo Elf 10, walikua wanaikataa katu katu.
Nimeiweka ndani tyuuh lol
 
Back
Top Bottom