Zoezi la Ubadilishaji wa Noti za Zamani Mwisho Kesho

Zoezi la Ubadilishaji wa Noti za Zamani Mwisho Kesho

Kwahiyo kuna watu walikuwa wanatumia hizi fedha?
Kuna watu walikuwa nazo tu ila hawatumiii. Sijui hata wameziweka za nini
Karibuni alikuja mtu kubadilisha hizo 500 zenye picha ya nyoka kama vibunda vitatu tena mpyaaaaa
Wengine wanakuja na mpk shlng 20 za noti šŸ˜…
 
Lakini mbona Nina Mia tano ya zaman ya noti hapa kila duka nilienda wanaikataa wanasema imeshapitwa na wakati kumbe serikali wanatambua kuwa zipo kwenye mzungukooo
Kulitoka tangazo watu wapeleke bank kubadilisha. Hazipo kwenye matumizi ila BOT walijua kama kuna watu wanazi hold bado. Nafkiri wanataka pesa mpya za Mwigulu zikichanganya kwenye mzunguko hayo matoleo ya zamani sana yawe hayapo tena
 
Kuna watu walikuwa nazo tu ila hawatumiii. Sijui hata wameziweka za nini
Karibuni alikuja mtu kubadilisha hizo 500 zenye picha ya nyoka kama vibunda vitatu tena mpyaaaaa
Wengine wanakuja na mpk shlng 20 za noti šŸ˜…
Kuna watu pesa wanazo tu si shida zao...šŸ˜…
ama nyengine mtu anafariki mnakuja kuzifuma baada ya miaka kadhaa!
 
Kuna watu pesa wanazo tu si shida zao...šŸ˜…
ama nyengine mtu anafariki mnakuja kuzifuma baada ya miaka kadhaa!
Kweli. Unakuta pesa zinatoa harufu ya udongo na zimegandamana hizo. Sijui waliziweka za nini
 
Back
Top Bottom