Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
noti mpya zishaatolewa? nioneshe picha zake kama unazoZoezi la ubadilishwaji wa noti za zamani lililoanza tarehe 06 Januari 2025 linatarajiwa kumalizika tarehe 05 Aprili 2025 ambapo matumizi ya noti hizo yatafikia ukomo wa kuwa fedha halali za Tanzania.
Baada ya tarehe hiyo, mtu yeyote au taasisi yoyote inayomiliki fedha hizo haitaruhusiwa kuzitumia katika kufanya malipo popote nchini; na benki zote hazitaruhusiwa kulipa wala kupokea amana au maombi ya kubadilisha noti zilizoondolewa kwenye mzunguko.
unabadirishia wapi mkuu?Nimebadili zote nimebaki na 10000 ya kumbukumbu
eZa kwenye hapo picha, mbona zilibadilishwa zamani sana, au bado zilikua zinatumika?
hadi elfu kumi yasasa wanabadirisha au sijaelewa?Hiyo jero yenye nyoka wangeirudisha ilikua nzuri sana alafu ngumu
B.O.T nyuma ya wizara ya fedha na hazina kuu ya taifa postaunabadirishia wapi mkuu?
Ni pesa za zamani mkuue
hadi elfu kumi yasasa wanabadirisha au sijaelewa?
Nimeshangaa pia.Kwa hiyo hizi pesa zilikuwa bado zipo kwenye mzungukooo?
Dah hii nchiNimeshangaa pia.
HatariiiiDah hii nchi
Lakini mbona Nina Mia tano ya zaman ya noti hapa kila duka nilienda wanaikataa wanasema imeshapitwa na wakati kumbe serikali wanatambua kuwa zipo kwenye mzungukoooHatariiii
Mie nilikua nayo Elf 10, walikua wanaikataa katu katu.Lakini mbona Nina Mia tano ya zaman ya noti hapa kila duka nilienda wanaikataa wanasema imeshapitwa na wakati kumbe serikali wanatambua kuwa zipo kwenye mzungukooo