Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Kuna watu walikuwa nazo tu ila hawatumiii. Sijui hata wameziweka za niniKwahiyo kuna watu walikuwa wanatumia hizi fedha?
elimu tu ndo ulichokosa jaribu kutafuta tangazo lao la awali ndo utaelewa ama humuhumu kuna watu walifafanuaHatariiii
Sawa mkuuπ€Mie nilikua nayo Elf 10, walikua wanaikataa katu katu.
Nimeiweka ndani tyuuh lol
Kulitoka tangazo watu wapeleke bank kubadilisha. Hazipo kwenye matumizi ila BOT walijua kama kuna watu wanazi hold bado. Nafkiri wanataka pesa mpya za Mwigulu zikichanganya kwenye mzunguko hayo matoleo ya zamani sana yawe hayapo tenaLakini mbona Nina Mia tano ya zaman ya noti hapa kila duka nilienda wanaikataa wanasema imeshapitwa na wakati kumbe serikali wanatambua kuwa zipo kwenye mzungukooo
Kuna watu pesa wanazo tu si shida zao...πKuna watu walikuwa nazo tu ila hawatumiii. Sijui hata wameziweka za nini
Karibuni alikuja mtu kubadilisha hizo 500 zenye picha ya nyoka kama vibunda vitatu tena mpyaaaaa
Wengine wanakuja na mpk shlng 20 za noti π
Sawaaelimu tu ndo ulichokosa jaribu kutafuta tangazo lao la awali ndo utaelewa ama humuhumu kuna watu walifafanua
PoaahSawa mkuuπ€
Kweli. Unakuta pesa zinatoa harufu ya udongo na zimegandamana hizo. Sijui waliziweka za niniKuna watu pesa wanazo tu si shida zao...π
ama nyengine mtu anafariki mnakuja kuzifuma baada ya miaka kadhaa!
π₯π₯π₯π₯π₯Poaah