mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kwa uwiano huo kama Ruto akishinda itabidi aongoze kwa adabu sana vinginevyo agenda zake nyingi zitakwamishwa!Idadi ya viti:
Azimio 162
UDA 159
gombea binafsi 12
Uwezekano wa runoff mkubwa.
Hakujawahi kutokea uchaguzi Kenya wagombea wamekaribiana kiasi hiki.Kwa uwiano huo kama Ruto akishinda itabidi aongoze kwa adabu sana vinginevyo agenda zake nyingi zitakwamishwa!
Yule mandevu angetishia watu!!LIVE RESULTS
Last updated: 08/15/2022, 11:35:42 local time (GMT+3)
Provisional results from IEBC
Candidates Vote
William Ruto50.7%
6,969,466
Raila Odinga48.7%
6,692,629
Other Candidates0.6%
92,312
Najua ni mkalenjinRuto siyo mkikuyu
Kwa msafara huu wa Ruto ni dhahiri ameshindaAisee.
Ngoja tuone
HayaNajua ni mkalenjin
Ngoma bado ngj tumsikie chibukatiKwa msafara huu wa Ruto ni dhahiri ameshinda
akili za ki-ccm ccm utazijua tu. mtu aliyezoea kuiba ni hatari sana kufikiri kwakeHakuna 50% + 1
Subiri ujuzwe
Duh!...RUTO ndiye Mshindi, Odinga kafuta legacy ya Kenyatta.
mnawaua kwa risasi 36 ungelikuwa wewe ungelifanyaje. Jitu katili lenaoza huko msituni lilileta maumivu makubwa kwa upinzani. asante bwana mungu kulipigilia msumari kichwaniUkiona hivyo Ujuwe hiyo nchi haina Wapinzani ni kiini macho tu
Umewaona Wapinzani wa Kenya lakini?mnawaua kwa risasi 36 ungelikuwa wewe ungelifanyaje. Jitu katili lenaoza huko msituni lilileta maumivu makubwa kwa upinzani. asante bwana mungu kulipigilia msumari kichwani
Jukwa la wakenya wabongo mmelivamia naonaUmewaona Wapinzani wa Kenya lakini?
Hawaogopi risasi 36
hawaogopi wanajua kuwa hawawezi kupigwa risasi. hapa wapinzni walidhani ni kama Kenya, kumbe jitu la chato linaua kweli kweli! You have to retreat and re-organise!Umewaona Wapinzani wa Kenya lakini?
Hawaogopi risasi 36
Mubashara ukumbini kupokea taarifa rasmi ya matokeo ya urais🇰🇪Ukumbimi hali ni shwari na Ulinzi umeimarishwa zaidi.
Unafanyika usafi pale katikati palipokuwa panafanyika zoezi la uhakiki
Watu wote wametulia wakisubiri matokeo
Kenya ni moja
Tukio liko mubashara Citizen tv
Yanayojiri;
Wageni wanaendelea kuingiza ukumbimi na tayari Wagombea wawili wa Urais wameshaingia ukumbini Ruto na Raila bado hawajaingia
Ulinzi ni imara kweli kweli ndani ya ukumbi
Kambi ya Rutto inaonyesha furaha zaidi kuliko zile kambi nyingine mbili
Matokeo rasmi yatatangazwa saa 9.00
Ulinzi umeimarishwa mara dufu ndani na nje ya ukumbi
Wakati huu Kwaya mbalimbali zinaendelea kutumbuiza wageni waalikwa
Ruto ameingia Bomas akiwa na escort ya polisi na Walinzi lukuki
Dalili za mvua ni mawngu
Kwamba yeye hajaenda kabisa Bomas?Odinga mpaka sasa hana dalili za kuelekea Bomas kupokea matokeo