KERO Zoezi la uhakiki wa taarifa NMB

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
 
Hivi tunahakiki nini kwani? Kupotezeana muda tu
 
Mm niliisha achana nao.nikakomba pesa yangu nikapeleka crdb preassure imepungua
 
nikakae kwenye foleni ya kazi gani akaunti haina hela,kwani nisipohakiki kunashida gani
 
mimi siendi na hapo NMB ndo mshahara wangu unapoingizwa.
wanahakiki nini wakati Nida yangu inazo taarifa zote?

Huwa nachukia sana kuona pesa zangu zikinitesa.
Kama unapitishia mshahara utaenda tu. Baada ya trh 31 zinakuwa temporary closed ili watu wakahakiki. But kutakuwa na usumbufu tu ila permanent close haitatokea kwa account zenye pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…