KERO Zoezi la uhakiki wa taarifa NMB

KERO Zoezi la uhakiki wa taarifa NMB

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nimeenda leo nimekuta watu wamejazana, Aliejaza fomu jumamosi kaambiwa yeye Atashughulikiwa Kesho, mwingine analalamika majibu mabaya
Kusikia hivyo wala sikupoteza muda, nikarudi zangu,..

Vitu vingine ni ujinga, ile ni huduma ambayo naweza ku opti kuipata popote,
Siendi na wafungie.
 
Kama unapitishia mshahara utaenda tu. Baada ya trh 31 zinakuwa temporary closed ili watu wakahakiki. But kutakuwa na usumbufu tu ila permanent close haitatokea kwa account zenye pesa.
nadhani ndo itakuwa hivyo, ila suala la kuhakiki litakuwa pale pale...
nitasubiri watu wakipungua ifikapo mwezi wa 9 ndo nitaenda
 
Back
Top Bottom