Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

Utakuwa na matatizo ya ubongo hii timuatimua itawaathiri sana wakristo maana ndo wamejaa kwenye taasisi za serikali kwa kisingizio kwamba wao ni wasomi sana.
Anatoka mkristo anaingia mkristo, amatoka muisilamu anaingia mkristo. Hatima yake ...
 
WaDAU WA NSSF POLENI [emoji482]
 
msako wa vyeti unatija sema nashangaa mbona masharti ya kuwa mbunge ni uwe Mtanzania,umemaliza darasa la 7,ujue kusoma na kuandika..inamaana wanaotuongoza ni vihiyo...
 

Ni hatua nzuri. Hili zoezi lisiishie NSSF pekee. Liwe endelevu katika taasisi zote za Serikali na utaratibu Mzuri uundwe kwa zoezi kama hili kusimamiwa vyema Hata katika taasisi Binafsi.....
 
Kazi ipo pale kuna watoto wa wakubwa waliingia kwa vimemo!! Mkurugenzi w IT ni Mpwa wa Dr Balozi! Utaelewa hapo hapo! Udini ndio usiseme! Kuna chumba rasmi cha kuswalia!! Sijui bado kipo
 
Hapa sasa ndo pa wanaharakati kuitisha petition ya kuwangá watu kama hao. Sasa hizi kusiwena kuleana. Tanzania ni yetu sote lazima tuijenge kwa ajili ya vizazi vijavyo hata kama waliotutangulia hawakufanya hivyo. Tumegundua tulipokosea sasa turekebishe makosa.
 
sawa watapigwa chini hao je swali la kujiuliza je wataajiri wangapi? tusubiri tuone
 
..nawe pia mmoja wapo?
Pole mkuu kama nimekugusa, lakini kazi za Nssf ni ukarani yeyote mwenye basic education aweza fanya.Vidume wako kwenye mateknolojia na magesi hao ndio tuwajadili tusihangaike na hesabu simple za asilimia kumi ya mshahara.Hesabu za wahazini kule church.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…