Zoezi la Yanga kuandikisha wanachama kigiditali limepigwa na kitu kizito Zanzibar

Zoezi la Yanga kuandikisha wanachama kigiditali limepigwa na kitu kizito Zanzibar

Inawezekana mashabiki wa Yanga waliopo mitandao ni wachache ukilinganisha na wale wa Simba. Lkn ni kwann Yanga inatajwa zaidi mitandaoni?
Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake.

Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh 29,000 kigiditali. Viongozi wa Yanga hawakuangalia alama za nyakati kwa kuzindua mfumo wa Klinet na N Card wakati mmoja na mashindano ya mapinduzi ambao viongozi wa Yanga wameyapuuza kwa kuwapunzisha wachezaji wake muhimu na kocha mkuu.
 
Inawezekana mashabiki wa Yanga waliopo mitandao ni wachache ukilinganisha na wale wa Simba. Lkn ni kwann Yanga inatajwa zaidi mitandaoni?
Thread nzima wanajibizana wao kwa wao last season walisema kombe la mapinduzi ni bonanza sasa hivi wanalitaka tume waachia wachukue wao
 
Back
Top Bottom