Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asingemtoa, unaweza ukatuambia kwa uhakika ingekuwaje?Alivyomtoa ikawaje Sasa.
Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake.
Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh 29,000 kigiditali. Viongozi wa Yanga hawakuangalia alama za nyakati kwa kuzindua mfumo wa Klinet na N Card wakati mmoja na mashindano ya mapinduzi ambao viongozi wa Yanga wameyapuuza kwa kuwapunzisha wachezaji wake muhimu na kocha mkuu.
Thread nzima wanajibizana wao kwa wao last season walisema kombe la mapinduzi ni bonanza sasa hivi wanalitaka tume waachia wachukue waoInawezekana mashabiki wa Yanga waliopo mitandao ni wachache ukilinganisha na wale wa Simba. Lkn ni kwann Yanga inatajwa zaidi mitandaoni?