Zombe aachiwa huru, Mshirika wake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Dah, Nikimkumbuka Bageni!!!
Hakika jamaa ana damu za watu za kutosha mikononi mwake.
Ilikua ukiingia anga zake anachofanya ni kukuchagulia kosa lokote kama siyo kukupoteza kabisa
 
Pole Sana kwa aliyehukumiwa kunyongwa lakini haya ndiyo matunda ya kufanya kazi kwa kutaka kuwafurahisha baadhi ya watu ambao baadaye mambo yanapokuwa magumu wanakuruka.
Umenena vyema ila hawazingatii matokeo kama haya
 
Sasa nasikia harufu mbaya, Baba Lowassa kuwa makini, hawa watu wameanza kufufua wafu na kuwahukumu wapendavyo!
 
Duh hatari sana hii ishu ya wakina Zombe
 
Pole Sana kwa aliyehukumiwa kunyongwa lakini haya ndiyo matunda ya kufanya kazi kwa kutaka kuwafurahisha baadhi ya watu ambao baadaye mambo yanapokuwa magumu wanakuruka.
Ndo maana tunaelezwa kuwa akili za kuambiwa changanya na zako...
Hata yule askari aliyemuua mwangosi ni hivyo hivyo, bosi wake aliyemuamrisha karuka viunzi yeye kanaswa....
 
Mleta mada tupu basi na hukumu hapa. Maji walikuwa nani
 
This is a serious allegation, kama huna uhakika ifute. Ni insult kubwa kwa judiciary. Meaning kwamba haki haikutendtka na aliyehukumiwa kunyongwa ni maonevu.
 
I cant imagine ni mawazo ya kiasi gani yanapita kwenye kichwa cha SP Bageni muda huu
Du, Bageni kijana mdogo aliyekuwa anainukia.
Inaelekea waliompa amri wamemruka.
Lakini kwa yale mauaji yaliyotikisa nchi haki lazima itendeke, damu ya wananchi imemlilia Mungu.
 
Reactions: MC7
Na ile kauli ya kuwalaza chini wawe makini nayo, manake wanaweza kuitumia kuonea na mwisho wa Siku wanabaki peke yao mahakamani
 
This is a serious allegation, kama huna uhakika ifute. Ni insult kubwa kwa judiciary. Meaning kwamba haki haikutendtka na aliyehukumiwa kunyongwa ni maonevu.
Ni watu wangapi hawakutendewa haki na judiciary (courts of law) katika taifa hili masikini!!!! Ni wangapi wamefungwa kwa hila na kukosa uwezo wa kiuchumi!!! Nenda mahabusu/jela kafanye utafiti then leta mrejesho.

Nawaza....
 
"Mahakama ni sehemu sahihi ya kupata haki ila kuna muda sheria hukosa jicho la tatu kuuona ukweli"
 
Ni watu wangapi hawakutendewa haki na judiciary (courts of law) katika taifa hili masikini!!!! Ni wangapi wamefungwa kwa hila na kukosa uwezo wa kiuchumi!!! Nenda mahabusu/jela kafanye utafiti then leta mrejesho.

Nawaza....

Nakubaliana na contention yako. Lkn for Zombe case you can not say for sure kuwa haki haikutendeka kuwa alipewa options mbili na mahakama ikaangukia kwenye options hizo.
 
Polisi wakifanyiwa hivi kila mara watatuheshimu Wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…