Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha niendelee kusoma maoni mengine mkuuBiashara ni matangazo asije kumbia mtu sababu tofauti na hiyo
Soma tuu huzuiliwiAcha niendelee kusoma maoni mengine mkuu
Turudi tu kwenye mada mkuuKwa hiyo mzee nilivyo ku overtake pale baruti na hiyo IST yako...ukaamua kuchukua picha huyo mrembo
Ndiyo maana mm nataka kujua undani wa matamanio yao hasa ni nini?Soma tuu huzuiliwi
Maana kama ni nguo kwa ajili ya joto kweli Tanzania joto ni kali hadi kupelekea akina mama au dada zetu wavae nguo za kuacha maungo yao wazi?
Hahaha! Vyovyote iwavyo mkuu. Mada yangu haijabagua nchi wala kablia la wanawake.Hapo sio Tanzania ni 'Sauzi Afrika', Durban.
Umbea ndo huu sasa...
Wanamke kutamani kutembea uchi ama kuonesha maumbile na makalio yao:-
(a) Wanasukumwa na nini nafsini mwake?
(b) Lengo lao ni nini?
(c) Ili wapate nini?
Angalia bendera kwenye plate number halafu kulia kuna mwendokasi.Hapo sio Tanzania ni 'Sauzi Afrika', Durban.
Mmh! Huoni huo mtaro chini ya shati lake alilobinua?Mbona kapendeza tu