Inawezekana aliyepigwa picha ni mwanamke.
Lakini je.
Hii picha ndiyo inawakilisha wanawake?
That's a logical non sequitur.
Ni kama vile ukute Muafrika mmoja anakula mavi, halafu umpige picha na kuhoji ni nini kinaendelea katika vichwa vya waafrika.
Inawezekana anakula mavi kwa sababu ni kichaa, si kwa sababu ni Muafrika.
Kuhoji kwako Waafrika kwa picha hiyo kutaonesha matatizo yako wewe kuweza kujenga hoja ya kimantiki, au hata ubaguzi wa rangi wako mwenyewe, kuliko matatizo ya Waafrika.
Kama vile ambavyo kuhoji wanawake kwa picha moja kunaweza kuonesha matatizo yako wewe kujenga hoja ya kimantiki, au hata misoginy yako (chuki dhidi ya wanawake) kuliko tatizo lililopo kwa wanawake.