- Thread starter
- #21
Hapana. Nguo aliyovaa (suruali) ni "see though"Hiyo ni bahati mbaya tu upepo umefunua gauni lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Nguo aliyovaa (suruali) ni "see though"Hiyo ni bahati mbaya tu upepo umefunua gauni lake.
Hiyo sio suruali ni skintight ya ndani, unataka wavae dangilizi?Hapana. Nguo aliyovaa (suruali) ni "see though"
Sasa kama ni ya ndani kwann iko nje? ?Hiyo sio suruali ni skintight ya ndani,
Hapo nadhani amevaa kigauni kifupi ila kutokana na upepo wa barabarani kikapepea, huenda sio kusudio lake kubaki hivyo. Ila ni vizuri wakavaa nguo zinazositiri maungo yao vizuri hata kama ni kwenye hali mbaya.
Wanamke kutamani kutembea uchi ama kuonesha maumbile na makalio yao:-
(a) Wanasukumwa na nini nafsini mwake?
(b) Lengo lao ni nini?
(c) Ili wapate nini?
Wacha nicheke kwa sautiKikubwa dereva wa boda hajui kinachoendelea maana angeshaenda kuivaa semi
Wakibakwa au kuliwa tigo wanaharakati wanakuja hap kuwatetea
Wanamke kutamani kutembea uchi ama kuonesha maumbile na makalio yao:-
(a) Wanasukumwa na nini nafsini mwake?
(b) Lengo lao ni nini?
(c) Ili wapate nini?
Huyo ni changudoa aliyepitilizwa mda.
Wanamke kutamani kutembea uchi ama kuonesha maumbile na makalio yao:-
(a) Wanasukumwa na nini nafsini mwao?
(b) Lengo lao ni nini?
(c) Ili wapate nini?
Sioni tatizo hapo. Hiyo ni chupi tu whats the big deal au hujawahi kuona chupi? Sifahamu ni vipi utasema kuwa anatembea uchi ilhali unaona kabisa kuwa amefunika uchi wake! Au jamani nyie wengine paja pia ni uchi kwenu?
Wanamke kutamani kutembea uchi ama kuonesha maumbile na makalio yao:-
(a) Wanasukumwa na nini nafsini mwao?
(b) Lengo lao ni nini?
(c) Ili wapate nini?
huoni tatizo nawakati hadi taulo ya kike imejitokeza hapo inaonekana we vpSioni tatizo hapo. Hiyo ni chupi tu whats the big deal au hujawahi kuona chupi? Sifahamu ni vipi utasema kuwa anatembea uchi ilhali unaona kabisa kuwa amefunika uchi wake! Au jamani nyie wengine paja pia ni uchi kwenu?
editedAngalia bendera kwenye plate number halafu kulia kuna mwendokasi.
Mimi niko poa kabisa hapa. Kwanza nakuhakikishia hiyo sio taulo ya kike pili ndugu yangu huku tuliko wenzako mbona tumezoea kuona zaidi ya hayo na sio kitu kabisa! nguo za see through na kuonekana kwa mapaja sio ajabu huku ulaya na ndio nikasema sioni tatizo hapo, wewe unatizama tu!huoni tatizo nawakati hadi taulo ya kike imejitokeza hapo inaonekana we vp
yaaani huku ndodo yayayayaaaaa!! chupi kabisaaaa BoxerHapo sio Tanzania ni 'Sauzi Afrika', Durban.