TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

Pole sana rafiki yetu
 
Dereva kapelekwa hospt, kwann huyo zuchy hajapelekwa hadi wasubir polis waje? Maelezo hayako sawa
Usha wai pata msiba wa aina izo??!

Unajua MTU akipata ajari kwanini huenda polisi kuchukua PF3??! Before hajapelekwa hospital??!

Eg. Mtu akichomwa kisu, kujinyonga, akinywa sumu, kujifungia nyumbani na kukutwa amevuja damu nyingi lazima walinzi wa amani wahusike in short

Uliza kingine
 
Polisi ya Tanzania inapokea maagizo kutoka juu kwa utimamu wote.

Sisi walalahoi hatuna mtetezi
 
Si yeye si boda hakuna mwenye makosa kati yao lakini issue ya police kupuuza taarifa za Ajari iliyosababisha kifo barabarani ni Dharau na Ujinga Mkubwa hata kama kagongwa Nguruwe.
 
Inategemea! Kama ni emergency mfano unawahi airport then unakuta foleni haitembei inabidi tu uchukue boda
Unaweza hata usifike huko airport. Halafu wanaogongwa wengi wala hawako kwenye hizo emergency kama kuwahi airport etc. Wengi huwa ni misele social tu kuwahi beer za bure au kwenda nyumbani kutoka kazini.
 
Kwanza kuendesha bodaboda kwenye highway ni risk sema tu serikali haitaki kusema hili. Mtu anafunguka speed 90 halafu bodaboda Yuko katikati ya gari na gari akikugusa hata kidogo lazima ulambe lami.


Ni vile tu serikali inatuacha tufe kama miziga ila bodaboda haikupaswa iwe usafiri wa umma. Hatuna miundombinu ya kuiaccommodate.
 
Inategemea! Kama ni emergency mfano unawahi airport then unakuta foleni haitembei inabidi tu uchukue boda
Sijawahi kusikia mtu kaenda Uwanja wa ndege kachekewa ndege halafu akagongwa.


Diamond alishawahi kupanda boda kisa kachelewa flight na Mo DEWIJ pia
 
Hivi mnafahamu wateja wa visungura ni kina nani?

Tujitahidi kutumia bajaj inapobidi ni salama.

Hawa bodaboda, unakuta amevaa ndala amenyanyuwa mguu mmoja, halafu amefungulia singeli volume mpaka mwisho na kwenye bomba la moshi sijui huwa wanaweka nini inaripuka kama bomu halafu bado mtu na akili zako unakubali kubebwa na kichaa kama huyo?
 
Hivi wewe ni fundi manyumba yule chawa wa Diamond?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…