Zuchu afungiwa kujihusisha na shughuli za sanaa Zanzibar

Sheria humo humo, njaa humo humo, na kuombwa radhi humo humo yani sheria ya hovyo kosa hapo halipo wazi ila wametumia tafsiri yao na utawala,, kosa labda kidogo ishara za mkono zilionyesha alama mbaya ila matamshi na uchezaji kisheria hakuna kosa.
 
Acha kuongelea dini ongelea sheria ya nchi kwanza unajua zanzibar kuna muda nawashangaa sana maadili gani mnatetea daily wazungu mnapishana nao sokoni wamevaa chupi tu ila mtu mweusi mwenzio akivaa suruali tu mwanamke hana maadili😂😂
 
Hizi akili za watu weusi ni shida sana
 
Acha kuongelea dini ongelea sheria ya nchi kwanza unajua zanzibar kuna muda nawashangaa sana maadili gani mnatetea daily wazungu mnapishana nao sokoni wamevaa chupi tu ila mtu mweusi mwenzio akivaa suruali tu mwanamke hana maadili😂😂
Mkuu dini Zanzibar ndio maisha yetu, jifunze tafsiri ya neno dini utajua kwanini muda wote tunaongelea maadili, ukiristo hakuna mahali umeongelea maadili kwa sababu ya udhaifu wake ndio mana mnatembea uchi kama ngombe mke mume mnaona ni sawa tu
 
Wewe nenda BASATA kaombe RADHI utajua hujui sisi ni Mamlaka na tuna Sheria zetu tumekupiga Ban na ZANZIBAR utaisikia redioni

UJUE huku Kuna Mamlaka usituletee dharau pambafu

Sasa km hao Basata wanaubavu na wakubanuwe

# SISI NI MAMLAKA KAMILI
 
Hata sisi tunajutia kwa Nini nchi ziliungana,,Bora mngebaki kivyenu na uislamu wenu
 
Sisi wen
Mkuu dini Zanzibar ndio maisha yetu, jifunze tafsiri ya neno dini utajua kwanini muda wote tunaongelea maadili, ukiristo hakuna mahali umeongelea maadili kwa sababu ya udhaifu wake ndio mana mnatembea uchi kama ngombe mke mume mnaona ni sawa tu
Sisi wenyewe tunajutia kuungana na nyie,,tunatamani huo muungano usingekuwepo,,mkawa kivyenu na dini yenu
 
Shida hizi mamlaka zinaongozwa na wahuni, mtu kasema mku........., tayari wao wametafsiri ni tusi, ni kweli tusi Kwa waliosoma Cuba ila Kwa kuwa halijamaliziwa ulipaswa kuachwa kama ilivyo na kubaki Kwa raia.

Wao ndo wanazua taharuki na kufanya watu waanze kutafuta clip na kujifanya viral.

Sasa zile nyimbo za Wana Njenje aka Bwana Chuchu ....si wangefungia Kila wimbo kutokana na vile vikorombwezo vya kina Omari mkali K
 
Hakuna kesi hapo ...ngoja ifike muda wa kampeni uone kama hajafunguliwa ..wabongo mnakua kama hamjazoea hz mambo ?
 
Watamfungulia tu

Wabongo si wanapenda kusikia matusi na ujinga ujinga
Ccm watamtumia kweny kampeni
Pia

Ova
 
Sasa huyu nae analalamika kama wote tunajua kinachoendelea. Hizi nyuzi ziwe zinafutwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…