Zuchu afungiwa kujihusisha na shughuli za sanaa Zanzibar

Zuchu afungiwa kujihusisha na shughuli za sanaa Zanzibar

Zanzibar siyo nchi yupo sahihi kaona kwenda kuomba radhi mkoani ni dharau 😀😀🏃🏃🏃(kidding)
 
Wewe nenda BASATA kaombe RADHI utajua hujui sisi ni Mamlaka na tuna Sheria zetu tumekupiga Ban na ZANZIBAR utaisikia redioni

UJUE huku Kuna Mamlaka usituletee dharau pambafu

Sasa km hao Basata wanaubavu na wakubanuwe

# SISI NI MAMLAKA KAMILI

Ataenda Zanzibar kama kwao. Kwanza Zanzibar kuna soko gani la mziki bhana.

Ila wazenji Wapo reactive snaa na mambo ya MK Kwa Sababu ndio mchezo wao ya kusodomana

Wakati mwingine unakuta mtu kavaa baibui mpaka nikabu lakini ndani CHUPI hana
 
Shida hizi mamlaka zinaongozwa na wahuni, mtu kasema mku........., tayari wao wametafsiri ni tusi, ni kweli tusi Kwa waliosoma Cuba ila Kwa kuwa halijamaliziwa ulipaswa kuachwa kama ilivyo na kubaki Kwa raia.

Wao ndo wanazua taharuki na kufanya watu waanze kutafuta clip na kujifanya viral.

Sasa zile nyimbo za Wana Njenje aka Bwana Chuchu ....si wangefungia Kila wimbo kutokana na vile vikorombwezo vya kina Omari mkali K
Wewe ni bonge la mpumbavu,hivi unafikiri kila mtu akiachwa afanye anavyotaka,hili taifa litabaki salama!?, wewe leo una ona ni sahihi,je kwa watoto?!. Watoto wetu tunawalinda vp juu ya huu uchafu?!.
 
Wewe ni bonge la mpumbavu,hivi unafikiri kila mtu akiachwa afanye anavyotaka,hili taifa litabaki salama!?, wewe leo una ona ni sahihi,je kwa watoto?!. Watoto wetu tunawalinda vp juu ya huu uchafu?!.
Nimesema kimtaani mtaani ni tusi (Kwa waliosomea Cuba) ila hakuna kosa pale mbele ya mamlaka alilofanya Kwa sababu hajamalizia neno na kilichofanyika ni usiku na kwenye kumbi ya burudani.

Vitu vingine ni kumpa mtu warning kimya kimya mambo yanaisha na ndio maana huku Tanganyika hajafungiwa. Ona sasa clip imesambaa zaidi baada ya mamlaka kujitokeza kuliko awali maana Kila mtu anatafuta. Unatakiwa u-deal na watoto wako Kwa kuweka parental guidance na mtoto mdogo mwisho kuangalia Tv ni saa 3:59 (haijaandikwa) ila Kwa wewe mwerevu ulipaswa kuelewa kuwa Kwa kanuni za TCRA show zote za kikubwa zinaanza saa 4 usiku na ndio maana mambo mengi ya kikubwa yanajadiliwa kuanzia muda huo

Alafu sio lazima kumwita mtu mpumbavu hata kama mmetofautiana mtazamo maana sifa kuu ya binadamu ni kutofautiana mawazo na ukiona kundi la watu Kila wazo linapotoka wanakubaliana ujue Kuna ambao hawafikirii. Kama hivyo JF wasingeweka sehemu ya kuandika comment.
 
Sisi wen

Sisi wenyewe tunajutia kuungana na nyie,,tunatamani huo muungano usingekuwepo,,mkawa kivyenu na dini yenu
Wewe itakuwa ni mtanganyika wa kwanza kujutia wenzako wote wanafurahia ndio mana hawataki abadan kutuachia nchi yetu, kodi za TRA zinakusanywa Zanzibar zinakuja kutumika huko bara na tanganyika kwenye mishahara yenu Zanzibar hawanusi ata shilingi 1 kwenye kodi zao hizo.
 
Miezi tisa unabeba mimba mwisho unakuwa ndio huu, kisa hela....mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Wewe itakuwa ni mtanganyika wa kwanza kujutia wenzako wote wanafurahia ndio mana hawataki abadan kutuachia nchi yetu, kodi za TRA zinakusanywa Zanzibar zinakuja kutumika huko bara na tanganyika kwenye mishahara yenu Zanzibar hawanusi ata shilingi 1 kwenye kodi zao hizo.
Nani alikwambia hawataki,,umeshawahi kupigisha watu kura ukajua maoni Yao?
 
Nani alikwambia hawataki,,umeshawahi kupigisha watu kura ukajua maoni Yao?
Zanzibar hakuhitaji kura ya maoni ikipigwa hiyo kura ni aibu tu yani kila unayemuona anakwamba hataki muungano, yaani huo munaoita muungano Zanzibar unaungwa mkono na wahafidhina tu walio kwenye systeam ambao wanavuta maslahi bas
 
Basi Mimi natamani hata Hawa wenzako ambao wako huku bara wangekuja Huko mkaungana wote mkaendelea na mambo yenu
 
Basi Mimi natamani hata Hawa wenzako ambao wako huku bara wangekuja Huko mkaungana wote mkaendelea na mambo yenu
Sio wenzang walio bara, kule zanzibar kila leo wageni kutoka tanganyika wanamiminika kutafuta ajira na wengine wanauza dawa za panya, viroboto, kunguni na wengine wanapiga pande kilimo na hawa ndio wanahofia muungano ukikatika kurudi kwao kule bara maisha yatakuwa mabaya sana

Zanzibar bunge la katiba tulitaka serikali 3 huko bara wote wakangangania serikali 2 ni dalili tanganyika wanataka muungano udumu ili waneemeke
 
Naomba unitajie kwa MTIRIRIKO sababu zako za kutaka nyie muwe kivyenu na sisi kivyetu,,,haf na mm ntakwambia sababu zangu za kutaka sisi tuwe kivyetu na nyie muwe kivyenu
 
Kuna watu mnaroho ngumu hivi nyimbo zile za kihuni sijua sukari mara namnyonyesha mnazisikizaga nyumbani na watoto wapo kweli. Mle hamna msanii matusi tu yamejaa bora nisikilize msondo ngoma au wanasikinde ngoma ya ukae sio upuuzi wa weka mate itereze.
Hata mm najiulizaga sana, hivi kweli matusi haya wenzetu wanaona poa tu. Dah. Zipogwe marufuku hata huku bara.
 
Back
Top Bottom