Zuchu ana nyota kali sana (Female version of Diamond)

Tecno Own The Stage kule Nigeria si alipitwa na Nandy??? Au nyota ilikuwa bado kuwaka?Muziki wa Afrika una utimu..ukiwa WCB hata Kingwendu akitoa ngoma views 4m
Hapa hatuongelei views, tunaongelea hivyo vitu vitatu above ebooooooh mxieeeew
 
Ana tako kama la niki minaj?
 
Hujui hata unachokisema maskini
 
Hujui hata unachokisema maskini
Zuchu ni noumer, yule mtoto Zuchu anajua. Jide hajui, Jide kawaida Sana, ni vile kipindi kile kulikua Hamna wanamuziki wengi wa kike ndo maana alivuma, na clouds na mumewe walimsaidia Sana. Jide yupo vizuri kwenye mashairi ya nyimbo zake lakini kwenye uimbaji noooo

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Sio mahaba ni facts..

Tangia Zuchu katoka ni msanii gani wa kike aliyempita kwa kuwa streamed kwenye online platforms ?

Je nimekosea kusema ndiye hottest female artist kwa kutumia fact tajwa hapa juu?

Sitaki kushindanisha sauti za waimbaji maana hilo ni subjective lets stick kwenye facts, numbers dont lie..
 
Mkuu mimi ni shabik wa WCB ila nakwambia ukwel dada uyu msanii wety zuwena n wakawaida sana ukimfananisha na watu kama ruby ila kinacho mfanya awe pale ni menegment na promo kubwa aliyo ipata ndan na nje kuptia lebo aliopo
 
Unaposema ni wa kawaida unatumia vigezo gani?

Kumbuka mtu unayesema anafanyiwa promo ni msanii ambaye ndio kwanza ametoka na anasikika katika media kubwa moja tuu(Wasafi media) , media nyingine zote kubwa hazimchezi at the same time kuna wasanii wa kike nyimbo zao zinapigwa media zote kubwa sasa sijui kati ya Zuchu na wasanii wengine wa kike nani anayefanyiwa the so called promo
 
Hiyo point kubwa Sana akikujibu nitag
 
Mkuu mimi ni shabik wa WCB ila nakwambia ukwel dada uyu msanii wety zuwena n wakawaida sana ukimfananisha na watu kama ruby ila kinacho mfanya awe pale ni menegment na promo kubwa aliyo ipata ndan na nje kuptia lebo aliopo
Wewe ni timu kiba, maana WCB hatunaga mashabiki wa utopolo so chill WCB CHAMA LAO.
 
Mkuu mimi ni shabik wa WCB ila nakwambia ukwel dada uyu msanii wety zuwena n wakawaida sana ukimfananisha na watu kama ruby ila kinacho mfanya awe pale ni menegment na promo kubwa aliyo ipata ndan na nje kuptia lebo aliopo
hata harmonize kilichomfanya awe pale alipo ni wcb management & promo hivo punguza chuki na uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…