Zuchu ana nyota kali sana (Female version of Diamond)

Doh! tuache unafiki jamani Zuchu niwakawaida sana sema sehemu alipo panambeba hata Harmonize alipokuwa wcb alionekana mkali zaidi ya kiba sasahivi amekuwa wakawaida
 
mbona hiyo sehemu haimmbebi Queen Darleen ?
 
Ata queen darleen ana connection [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanafosi tu iyo ni povu la koka
 
Ukisikia overrated una elewa nini?
Huwezi ukasema Ni overrated wakati ngoma zake zinafanya vizuri kitaani mpaka kwenye mauzo ya mziki mfano mzuri audiomack na kingine ukitaka kujua huyo dada sio overrated angalia hiyo show yake atakavyojaza watu.
 
We jamaa huwa unalipwa sh ngapi na WCB?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…