Zuchu: Diamond Platnumz alinipata nikiwa masikini na kunitunza kama mtoto wake

Zuchu: Diamond Platnumz alinipata nikiwa masikini na kunitunza kama mtoto wake

Hakuna kitu kibaya kama kufilisika kifkra,ivi kama daimondi n bora Zaid ya baba yake basi ni nani angemzaaa,Zuchu amekufuru aende kutubu kabla cku ya kiama haina fika
Hadija kopa alishasema baba ake hakuwai kuwa na time na mwanae...kwaivo zuchu atakuwa ako sawa ila suala la umasikini ndo la kufikiria!
 
Kuna level za maisha ambazo ukilinganisha na watz wengine huwezi jiita masikini
Hata hivyo hadija kopa ni masikini bado.najua kaimba Sana lakini Hali yake ni mbaya.
Wasanii wenye Hali nzuri ni wa Sasa hivi Tena wachache sanaaa.
Msione alikuwa anaimba kule ccm mkajua alikuwa anapewa hela za uhakika hamna kitu.
ZUCHU AMESEMA UKWELI MTUPU.
 
Hata hivyo hadija kopa ni masikini bado.najua kaimba Sana lakini Hali yake ni mbaya.
Wasanii wenye Hali nzuri ni wa Sasa hivi Tena wachache sanaaa.
Msione alikuwa anaimba kule ccm mkajua alikuwa anapewa hela za uhakika hamna kitu.
ZUCHU AMESEMA UKWELI MTUPU.
Kwenye umasikini wake alikuwa akipata wapi ada ya kusomesha mtoto hadi India 🇮🇳 na anasema baba ake hajawai support mtoto wake kwa lolote?
 
Kwenye umasikini wake alikuwa akipata wapi ada ya kusomesha mtoto hadi India [emoji1128] na anasema baba ake hajawai support mtoto wake kwa lolote?
Kuna misaada pia.huyo alikuwa na watu wakubwa kupata misaada ni jambo la kawaida.
Hadija kopa hata gari Hana.
Wasanii wa zamani hamna kitu
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hadija kopa alishasema baba ake hakuwai kuwa na time na mwanae...kwaivo zuchu atakuwa ako sawa ila suala la umasikini ndo la kufikiria!
Mama yake aliiba mme wa mtu, mtoto wa nyumba ndogo, aka mchepuko.
 
Na ndio maana nashangaa mtu akija na hoja eti Mondi anawanyonya hawa wasanii
Kunyonywa lazma unyonywe yani wewe ukiwa chini ya mamlaka flani lazma unyonywe huo ndio utaratibu!

Ila ukiwa na moyo wa shukurani huwezi waza kuwa unanyonywa na ndio maana watu wanamaliza miaka 40 wakiwa maofisini serikalini humo! Sio kwa kuwa analipwa sana ila tu ameamua kuwa na moyo wa shukurani😅!

Hata huyo zuchu kwa mfano angeamua kuimba mwenyewe kama solo pengine angekuwa kashapotea ila now yuko kwenye limelight ya wasafi! She makes money kupitia brand ya wasafi ofcourse hapewi zote in full ila anachoingiza ana shukuru!

Wasioridhika huwa ndio wanaparangana always wapate zaidi! Yani wawe katika level ya mamlaka!
 
Maisha ya mama yake sio ya kwake yeye kazungumzia maisha ya kwake
Unataka kusema watoto wa akina Mo na bakeresa Ni masikini kwa sababu pesa sio zao Ni za baba zao.?? Yaani unakubali kabisa uongo kwamba mtoto wa Khadija kopa ambae alikuwa anafanya show uingereza mwaka 1995 Ni masikini??
 
Hii definition ya Masikini itabidi nirejee Kamusi yangu...., Huyu Zuchu kama alikuwa Masikini basi tunahitaji another level ya Umasikini....

I once cried cause I had no Shoes..., Until I saw someone with no Feet...
NI UZUNI KWAKWELI vijana kwa kulamba mabosi wao mat_ako
 
Huyu kabla hajawa maarufu kwenye mziki
Kalikuwa kanauza duka

Ova
 
Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz.

Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango kimoja hadi kingine kutokana na biii yake.

Ni msanii ambaye ana uhusiano mwema na wa karibu na Diamond, kama inavyoonekana mitandaoni.

Licha ya kejeli zote ambazo Zuchu amepokea kutoka kwa wanamitandao, amezidi kutia bidii kila kuchao.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram msanii huyo alipakia video huku akionyesha nyumba yake na kusema kwamba alikuwa ameithamini.

Pia aliweka wazi kwamba yuko tayari kusherehekea sikukuu ya krismasi, na hata kumshukuru Diamond kwa umbali amemtoa.

" Mimi Dai akinipata sikuwa na chochote . Alinikuta maskini akanitunza kama Mtoto wake. Alinipa mkataba katika Lebo yake, akanipa nyumba , akanipa gari na kunitafutia umaarufu unaonilisha Leo hii. Dai ni zaidi ya babangu Allah azidi kumueka poa Kwa ajili ya wengine wengi," Alisema Zuchu.

Kwa hiyo hata mbususu anampa kama shukrani?
 
Back
Top Bottom