herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Mo tukisema Ni tajiri mnasema za urithi, Zuchu anasema alikuwa masikini mnasema mama yake anafwedha. Binadamu bwanaa....!Kama mtoto wa Khadija Koppa ni masikini basi asilimia 98 ya Watanzania ni masikini.
Kama mtoto wa Khadija Koppa ni masikini basi asilimia 98 ya Watanzania ni masikini.
Stori za masikini wa Ulaya.
Utasikia, i used to sleep in my car the whole year.
Hadija kopa alishasema baba ake hakuwai kuwa na time na mwanae...kwaivo zuchu atakuwa ako sawa ila suala la umasikini ndo la kufikiria!Hakuna kitu kibaya kama kufilisika kifkra,ivi kama daimondi n bora Zaid ya baba yake basi ni nani angemzaaa,Zuchu amekufuru aende kutubu kabla cku ya kiama haina fika
Kuna level za maisha ambazo ukilinganisha na watz wengine huwezi jiita masikiniAliyekwambia hadija kopa tajiri ni Nani?
Hadija kopa ana utajiri gani?Sio tajiri kwaiyo ni masikini sio?
Hata hivyo hadija kopa ni masikini bado.najua kaimba Sana lakini Hali yake ni mbaya.Kuna level za maisha ambazo ukilinganisha na watz wengine huwezi jiita masikini
Kwenye umasikini wake alikuwa akipata wapi ada ya kusomesha mtoto hadi India 🇮🇳 na anasema baba ake hajawai support mtoto wake kwa lolote?Hata hivyo hadija kopa ni masikini bado.najua kaimba Sana lakini Hali yake ni mbaya.
Wasanii wenye Hali nzuri ni wa Sasa hivi Tena wachache sanaaa.
Msione alikuwa anaimba kule ccm mkajua alikuwa anapewa hela za uhakika hamna kitu.
ZUCHU AMESEMA UKWELI MTUPU.
Kuna misaada pia.huyo alikuwa na watu wakubwa kupata misaada ni jambo la kawaida.Kwenye umasikini wake alikuwa akipata wapi ada ya kusomesha mtoto hadi India [emoji1128] na anasema baba ake hajawai support mtoto wake kwa lolote?
Kwani mm nimesema ni tajiri?Hadija kopa ana utajiri gani?
Kama mtu hamumjui ULIZENI.
Labda utajiri wa waganga wengi ndo anao
We unadhani kuimba taarabu kuna hela yeyoteKama mtoto wa Khadija Koppa ni masikini basi asilimia 98 ya Watanzania ni masikini.
Tunajadili umasikini....We unadhani kuimba taarabu kuna hela yeyote
Mama yake aliiba mme wa mtu, mtoto wa nyumba ndogo, aka mchepuko.Hadija kopa alishasema baba ake hakuwai kuwa na time na mwanae...kwaivo zuchu atakuwa ako sawa ila suala la umasikini ndo la kufikiria!
Kunyonywa lazma unyonywe yani wewe ukiwa chini ya mamlaka flani lazma unyonywe huo ndio utaratibu!Na ndio maana nashangaa mtu akija na hoja eti Mondi anawanyonya hawa wasanii
Unataka kusema watoto wa akina Mo na bakeresa Ni masikini kwa sababu pesa sio zao Ni za baba zao.?? Yaani unakubali kabisa uongo kwamba mtoto wa Khadija kopa ambae alikuwa anafanya show uingereza mwaka 1995 Ni masikini??Maisha ya mama yake sio ya kwake yeye kazungumzia maisha ya kwake
NI UZUNI KWAKWELI vijana kwa kulamba mabosi wao mat_akoHii definition ya Masikini itabidi nirejee Kamusi yangu...., Huyu Zuchu kama alikuwa Masikini basi tunahitaji another level ya Umasikini....
I once cried cause I had no Shoes..., Until I saw someone with no Feet...
Kwa hiyo hata mbususu anampa kama shukrani?Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz.
Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango kimoja hadi kingine kutokana na biii yake.
Ni msanii ambaye ana uhusiano mwema na wa karibu na Diamond, kama inavyoonekana mitandaoni.
Licha ya kejeli zote ambazo Zuchu amepokea kutoka kwa wanamitandao, amezidi kutia bidii kila kuchao.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram msanii huyo alipakia video huku akionyesha nyumba yake na kusema kwamba alikuwa ameithamini.
Pia aliweka wazi kwamba yuko tayari kusherehekea sikukuu ya krismasi, na hata kumshukuru Diamond kwa umbali amemtoa.
" Mimi Dai akinipata sikuwa na chochote . Alinikuta maskini akanitunza kama Mtoto wake. Alinipa mkataba katika Lebo yake, akanipa nyumba , akanipa gari na kunitafutia umaarufu unaonilisha Leo hii. Dai ni zaidi ya babangu Allah azidi kumueka poa Kwa ajili ya wengine wengi," Alisema Zuchu.