Zuchu: Diamond Platnumz alinipata nikiwa masikini na kunitunza kama mtoto wake

Tatizo watu wanajitoa ufahamu, jiulize mbona huyo sijui Baba mzazi hakumfanyia hayo? Shida hapo ni shukrani anazompa diamond hakuna kingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii definition ya Masikini itabidi nirejee Kamusi yangu...., Huyu Zuchu kama alikuwa Masikini basi tunahitaji another level ya Umasikini....

I once cried cause I had no Shoes..., Until I saw someone with no Feet...
Kuna relative poverty na absolute poverty, umaskini wa Zuhura ni Relative , sio absolute.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Again unaequate monetary success kwamba ndio mafanikio / utajiri kwangu mimi hata hao wenye vipaji ambao bado wanasaga lami wana utajiri wa vipaji vyao ambavyo wewe hata na mamilioni yako ya pesa au ukeshe ukifanya mazoezi huwezi kuwafikia..., In my book such people are not poor wanaweza wakawa kwenye macho ya jamii inayoangalia mafanikio kupitia bank accounts,,,

All in all she should appreciate kupata platform ya kuonyesha kipaji chake lakini kama Eminem alivyosema....
You better lose yourself in the music, the moment
You own it, you better never let it go
You only get one shot, do not miss your chance to blow
This opportunity comes once in a lifetime you better
Kwahio yeye bila ku-seize hiyo opportunity huenda Tanzania nzima isingemfahamu.., sikatai mchango wa Diamond kwenye maisha yake nachopinga ni yeye kusema alikuwa masikini...,​
 
Kuna relative poverty na absolute poverty, umaskini wa Zuhura ni Relative , sio absolute.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tunaangala utajiri kwenye lens distorted kutokana na jamii ya sasa ku-value material things ambazo ukiangalia sana hizo materials they are just junks well promoted to brainwash the mass into acquring them....
 
Tunaangala utajiri kwenye lens distorted kutokana na jamii ya sasa ku-value material things ambazo ukiangalia sana hizo materials they are just junks well promoted to brainwash the mass into acquring them....
Kama umeelewa kuhusu hizo aina mbili za umaskini, basi inatosha, acha maneno mengi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Naam kujiona masikini wakati umejaliwa nao ni umasikini (unaweza ukawa a poor man with plenty hence unhappy au a rich man with little hence happ)
Eminem anakwambia in The Music Industry ukipata chance ya Ku-OWN IT..., yaani upo kwenye Limelight usiiachie hiyo chance tumia hio opportunity to the maximum its a one shot (wakali wa miaka ya nyuma sasa hivi wanapokezea vijiti wengine, utakuja muda utakupita na watakuja wengine) its a once in a lifetime opportunity muda ukikuacha utakuwa ulifanya jambo kama ulipoteza ile chance hautaipata tena...
 
Kwanin asiseme zaid yamamake yan wababa tunachukuliwa poa eeeh
 
Kama mtoto wa Khadija Koppa ni masikini basi asilimia 98 ya Watanzania ni masikini.
Mkuu kwani hujui kua asilimia 98% ya watanzania ni masikini?
Ili uwe na kipato cha kutoka kwenye umasikini,kulingana na HDI ni lazima iwe kuanzia $5,200.....hio ni milioni 13+,ambayo hata maafisa wakubwa serikalini hawafiki.
Yaani mtu kutembelea gari used na kupanga kageto Kako ka laki moja, tayari unajiona umeshatoboa maisha[emoji2][emoji2],
 
Hakuna kitu kibaya kama kufilisika kifikra, ivi kama Daimondi n bora Zaid ya baba yake basi ni nani angemzaaa, Zuchu amekufuru aende kutubu kabla cku ya kiama haina fika
Yaani mtu anayekula kwa kazi ya shetani anashauriwa kutubu?.........[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…